Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
Muda mchache uliopita nimesikiliza taarifa ya habari toka TCB-TV ambapo CCM imetangazwa kushinda kiti cha Ubinge-Bmulo. La kusikitisha na kushangaza matokeo rasmi hayajatangazwa hapa Bmulo. Hakuna kauli yoyote Zaidi ya mahojiano yaliyofanywa na Mkurugenzi wa Uchaguzi na Radio Kwizila ya Ngara ambapo Mkurugenzi alikiri CHADEMA kuelekea kushinda.
Sasa TBC inapomtangaza mgombea wa CCM kushinda ni kwa kura zipi? Zilizopigwa kupitia TV au mabox ya uchaguzi? Yawezekana kulikuwa na uchaguzi mwingine unaendeshwa kupitia TV!
Mkulu Invisible nawe uthibitisho wa matokeo rasmi umeutoa wapi?
Kwa sasa kinachofanyika ni propaganda. Invisible kuwa makini usijekuwa sehemu ya Propaganda Pima Upepo Tutekeleze Letu
Mzee hivyo ndivyo...afadhali mugabe siyo mnafiki hawa CCM bado watajipendekeza kwa donors ...wameshawazunguka...sijui kama sauti zetu zitaungwa mkono ..obviously (viongozi wa upinzani) wafanye move ambayo italeta impact to the world media otherwise jamaa watatuumiza sana chini kwa chini..wapemba unakumbuka walichofanywa...afadhali mombasa ni karibu..Tazama kura hizo maana idadi yao iliyoandikishwa ni wengi na wamejitokeza wachache sana, Mimi nasema kuwa watu tumechoka kwa tabia ya kuigiza na mzee wa kisanii kama hii. afadhali kusiwe na chaguzi kabisa ,maana watu kupoteza muda. kila kitu ni cha CCM hivyo wanachofanya ni kitu kibaya kabisa katika taifa letu na wapemba demokrasia Duniani kote. Mimi naona kuwa CCM hawana tofauti kabisa na Mugabe japo wanamuona ni kituko
pole sana Mkuu
labda wamepata kutoka Tume maana hapa taarifa tunazopata ni kuwa tume imetangaza ila chadema wamekataa na hivyo bado kuna malumbano
Mwakani kutakuwa na ratiba tofauti za uchaguzi za ZEC na NEC wewe utaona moja ya sababu itakuwa security ili wathibiti eneo moja la muungano wapange matokeo then waende eneo jingine ...I gues tusibiri tuone..2010 serikali haina majeshi ya kuweza kuzuia fujo bara na visiwani, na waamini wa ZNZ lazima watakiwasha na kikiwaka ZNZ na bara lazima kiwake
Mwakani kutakuwa na ratiba tofauti za uchaguzi za ZEC na NEC wewe utaona moja ya sababu itakuwa security ili wathibiti eneo moja la muungano wapange matokeo then waende eneo jingine ...I gues tusibiri tuone..
kwa nini ccm ikishinda si democracy?where the hell is democracy......
kwa nini ccm ikishinda si democracy?
Quote: masatu
tehe teh teh!
Haya sasa wenye wivu chukueni kamba zenu mjimalize!
We do not need you attention anyway hypocrite Masatu!Na sidhani kama familia yenu(Masatu) ipo njema kiasi kwamba unafurahia sana kwa CCM kushinda Biharamulo,si ajabu wazazi wako ni sawa na wazazi wa watu wengi nyumbani TZ ambao wanakwenda hospitalini hukosa dawa,hamna maji saafi na salama ya kunywa na hata elimu labda ya wajomba zako kama si wadogo zako na kaka zako ni haba kiasi kwamba wanakaa chini kwa kukosa madawati!
Masatu CCM ina wenyewe na wewe sidhani kama ni mmoja wao,sisi na wewe wote"tumefulia"na kuiacha nchi hii ikiliwa na akina Kinje ambao hata hajawahi kufikiria kwenda Kenya tu hapo jirani kutafuta maisha maana hamna anachokosa TZ. Masatu si ajabu na wewe unaandika habari hii ukiwa nje ya TZ ulipoenda ama kama mkimbizi wa kipato au mkimbizi wa elimu au vyote kwa pamoja kwa maana CCM hamna walichobakiza nyumbani!
Nasisitiza tena 'shame on you Masatu'!Here we Go CHADEMA na hamjafanya vibaya Biharamulo wala Busanda ila tume ya Jaji Makame kwa amri ya JK kawapa ushindi CCM!
Masatu CCM waachie akina Masha,akina Ngeleja,akina Nauye na wote waliopo ndani ya CCM ambao faida yao kuwepo pale CCM ni kubwa!Masatu,What do you have for being die-hard CCM supporter?And worse still you dont have any potential to be in CCM cycle!
This dude makes me outspoken and i'm very sorry for any inconvenience guys/ladies
where the hell is democracy......
Kwa ustaarabu wa kura tutasubiri sana mageuzi ya kweli...kwanini hawa viongozi wa upinzani (CUF na Chadema) wasiandae wananchi wa Tanzania tukafanya green revolution tunadaiIlishatokea hiyo Mkuu unakumbuka? na ina impact kubwa sana
kwa nini ccm ikishinda si democracy?
Ni wizi wa kura tu hakuna kipya hapaSwala linalozungumzwa hapa sio CCM kushinda, Swala ni wizi wa kura.
Ni wizi wa kura tu hakuna kipya hapa