Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,532
- 113,667
Hivi tunapiga kula ili iweje.Mimi nadhani afadhali tusipige kula,afadhali enzi za mwalimu tulikuwa tunapiga kula kuchagua viongozi.Tangu nyerere atoke hadi leo, sioni kama tunapiga kula kuchagua viongozi zaidi ya kuchagua watu wa kuuza nchi.
Nchi imeuzwa kila kitu kinaondoka,wale tunaochagua nao wanaakikisha wanatunza pesa za kujitosheleza maana hakuna ambaye anauhakika kwamba hii nchi ni yake,kila mtu anatafuta pesa za kutosha na kurundika iwezekanavyo.
Tangu nyerere atoke madarakani mpaka sasa hivi, tumeshindwa angalau katika uchaguzi kubahatisha kupata kiongozi mzuri wakutasaidia.Kila baada ya miaka mitano,ni bahati mbaya,je mpaka lini?.Afadhali tukagoma kupiga kula,wajichague wenyewe angalau tusibaki tunajiraumu.
We fikiria mtu anaiba 200bilioni,eti yupo anaendelea kuishi,kwanini tusiige angalau nchi kama china.Mfano katika nchi ya china, wale waliouza maziwa yenye sumu walifanywaje?walshahukumiwa tayari.Kunatofauti gani na mtu mmoja aliyeletea taifa hasara ya 200bilions.Hatuna haja ya kupiga kura.
Huu ni ukweli uliowazi, CCM itashinda kwa kishindo kikuu kuliko Busanda, kama Chadema inaongoza mijini kwa slim margin, huko vijijini itakuwaje?.Ya Busanda yaelekea kujirudia Biharamulo, tena safari hii CCM yaweza kuongoza kwa tofauti ya kura nyingi zaidi.
Kazi kweli kweli.
Ya Busanda yaelekea kujirudia Biharamulo, tena safari hii CCM yaweza kuongoza kwa tofauti ya kura nyingi zaidi.
Kazi kweli kweli.
Chadema,
Mkitoka Biharamulo endeleeni na "Operesheni Sangara" vijijini Mkoa wote wa Kagera. Halafu mikoa mingine yote Tz bara. Hakuna kulala, mpaka mafisadi na chama chao wang'oke. Dhuluma, ubadhirifu ziiiiiiii 2010.
Chadema,
Mkitoka Biharamulo endeleeni na "Operesheni Sangara" vijijini Mkoa wote wa Kagera. Halafu mikoa mingine yote Tz bara. Hakuna kulala, mpaka mafisadi na chama chao wang'oke. Dhuluma, ubadhirifu ziiiiiiii 2010.
Mbona matokeo yako yanakuwa kama hayako kati, naona lugha kama ipo biased, wanapoongoza CCM sema wameongoza vingapi na wanapoongoza CHADEMA vile vile tuambie ili tujue nani anakunja jamvi huko. Lugha yako haiko straight. Hata hivyo asante kwa kutupasha yanayojiriCCM inaanza kuongoza baadhi ya vituo vya mijini, hivyo kwa vijijini ndio kabisa. natafuta kituo cha tatu.