Matofali 800 yanauzwa

Joined
Feb 18, 2013
Posts
47
Reaction score
14
Matofali mazuri 800 ya ukubwa wa 5" yanauzwa kwa Tzs 950 kwa kila tofali, yapo Mbagala along kilwa road, atakayenunua yote kwa mkupuo mmoja bei 720,000, usafiri ni juu ya mnunuaji pia gari kubwa (lorry) yaweza fika yalipo. Kwa anayehitaji ni- PM, pia Contact : tanzaniamaendeleo@yahoo.com

 
Bei gani kaka...?ni ya kawaida,au yenye kokoto...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…