Naomba radhi kwanza maana hata mimi nina mama angu aliye nizaa. Heshima kwa wanawake wote.
Naomba kujua huu utofauti wa matiti baada ya mwanamke kuzaa.
Kuna wengine baada ya kuzaa matiti yanakua makubwa kiasi hadi kimlemea.
Kuna wengine yanapotea kabisa .. yaani yanalala utadhani tissu yote imekamuliwa?
Kuna wengine yanakua kawaida sana , kunakua na ugumu flani na sio rahisi kujua kama kanyonyesha.
Naomba watalaamu watusaidie sababu ya hizo tofauti.
View attachment 1093840