Matiti nje

Mm kuna mdada chuoni anavaa vibaya sana ,Jana kavaa jasketi juu ya magoti,Leo suruali imebana k.. Yote nje nje hallafu ameumbika Du ni noma
 

Kijana wangu wakishajua zimesimama wanadai wana aleji.na sidiria kabisa...
 
Kila jambo litapita tuu. Msiogope, haya mavazi nayo yatapita. Hata angelitoa nje, namwona tu ka box la biskuti dukani. Miye sili biskuti hivyo haliwezi nitia hamu. Lile ni chuu la mtoto miye lanihusu nini? Sikumbuki tena kunyonya, huenda wanawatamanisha watoto lakini ni ujinga tu. Mbona ya ng'ombe yako nje na ndama hanyonyi ila kwa wakati wake?
Acheni kuwasumbua, kila mtu anacho kinacho msumbuaga, wengine "vibration" unaonaje akikutangulia mbele yako
 
Hilo nalo ni neno, umesomeka mkuu
 
sisi wengine kuna mada zingine mpaka picha ndio uwa tunaelewa vizuri, tafadhali naomba unisaidie kwa hilo., maana kuna tofauti kati ya matiti, maziwa, na manyonyo.
 
Hatare jamani sio kwamba mm sipendi ila ninavyoyaona halafu nikiwa nafanya kazi fulani ya maana lazima concentration itapungua jamani maana wengine mpaka wanakugusisha nayo hapo sasa ni balaaaaaaaaa
 
Alafu sijui mimi nina bahati mbaya?Kitu kingine tena leo pale Morocco!Sasa itabidi niwe najifungia ndani sitokii!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…