HANDO Member Joined Sep 1, 2011 Posts 51 Reaction score 4 Apr 10, 2013 #1 mini najifunza ujasiria mali nataka matirio ya kutengenezea sabuni za maji lakini sijui wapi ntapata matirio ya kutengenezea, nielekezeni wapi ntapata kwa bei nafuu. nimeambiwa yanapatikana DAR au Nairobi lakini sijui wapi ntapata nsaidien wandugu. nipigie sim 0714 592827 au 0763 815 111 email; nkivaria@gmail.com kijana mwenzenu NK (Arusha)
mini najifunza ujasiria mali nataka matirio ya kutengenezea sabuni za maji lakini sijui wapi ntapata matirio ya kutengenezea, nielekezeni wapi ntapata kwa bei nafuu. nimeambiwa yanapatikana DAR au Nairobi lakini sijui wapi ntapata nsaidien wandugu. nipigie sim 0714 592827 au 0763 815 111 email; nkivaria@gmail.com kijana mwenzenu NK (Arusha)
Kitope JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 236 Reaction score 58 Apr 10, 2013 #2 Dah! haya "MATIRIO" matirio gani mkuu unaulizia. na ujasilimali huo umepanga vipi. au ndo sabuni za kutengenezea uani ??
Dah! haya "MATIRIO" matirio gani mkuu unaulizia. na ujasilimali huo umepanga vipi. au ndo sabuni za kutengenezea uani ??