kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
Weka ushahidi tuamini hali hiyo.
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]Mchawi utamjua tu. We chapa lapa tu unataka ushahidi wa nini na ili iweje? Au wewe ndiye ulimroga na kisha kuanza kueneza habari za uzushi dhidi yake.
Taarifa kwa wanajf, MATIKO MATARE aliyewahi kuongoza maandamano makubwa chuo kikuu cha dar (UDSM) miaka ya 1990 na kusumbua serikali ya rais mwinyi pamoja na jaji warioba, ni mzima wa afya na yupo mkoa wa ruvuma Tena ni katibu wa kanda ya kusini wa CHADEMA kupitia uchaguzi uliofanyika tar. 17 july 2013 siku ya uzinduzi wa kanda chini ya m/kiti wa CDM taifa MH. Mbowe. Hivyo kwa wale wanaojua kuwa alifariki si kweli.
Taarifa kwa wanajf, MATIKO MATARE aliyewahi kuongoza maandamano makubwa chuo kikuu cha dar (UDSM) miaka ya 1990 na kusumbua serikali ya rais mwinyi pamoja na jaji warioba,....
Kama hujui kitu ni bora ukauliza kuliko kuanika umbumbumbu! Huyo bwana ndie aliyesababisha chuo kikuu kiwe kwenye status hii ya sasa! Hujui kuwa kabla ya uongozi wake wanafunzi tulikuwa tumejengewa vyoo vya mabati vya nje kujisaidia hall moja na matundu idadi ndogo ya kutisha! Maji chuo yalikuwa historia, chuo kikuu kilikuwa choo kukuuu! hujui ni bora uliza usichangie usicho kijua!Huyo anafaa kuwa chadema kwa sababu chadema wamespecialize kwenye maandamano ya kugomea shughuli za maendeleo...
Mchawi utamjua tu. We chapa lapa tu unataka ushahidi wa nini na ili iweje? Au wewe ndiye ulimroga na kisha kuanza kueneza habari za uzushi dhidi yake.
Huyu jamaa alibadirisha "mihula" ya masomo UDSM...!
Hapo tatizo ni upeo wa maprofesa wenu sio ushujaa wa msababisha migomo.Kama hujui kitu ni bora ukauliza kuliko kuanika umbumbumbu! Huyo bwana ndie aliyesababisha chuo kikuu kiwe kwenye status hii ya sasa! Hujui kuwa kabla ya uongozi wake wanafunzi tulikuwa tumejengewa vyoo vya mabati vya nje kujisaidia hall moja na matundu idadi ndogo ya kutisha! Maji chuo yalikuwa historia, chuo kikuu kilikuwa choo kukuuu! hujui ni bora uliza usichangie usicho kijua!