Kesho naenda vuna shamba langu la matikiti maji uko mkuranga..so kuanzia jion mzigo utakuwa unapatikana. Nafanya home delivery kwa maeneo ya tabata sanene adi segerea kuanzia matikiki matano na pia kwa wale wanaotaka mzigo mkubwa ni PM tufanye biashara bei ni poa sana ndugu. Karibuni sana
mkuu hongera kwa kukaribia kuvuna! umenikumbusha mbali mimi nililimaga matikikiti mbele ya mkuranga hapo mwarusembe unaingia ndani kidogo...watu niliowauzia ni kutoka temeke stereo sokoni na buguruni aise sina hamu nao maana ni walalihajI sana..sijajua wewe ume target watu gani ila nakushauri kwanini usitoe mzigo shambanI ukamwage sehemu uuze mwenyewe
Kesho naenda vuna shamba langu la matikiti maji uko mkuranga..so kuanzia jion mzigo utakuwa unapatikana. Nafanya home delivery kwa maeneo ya tabata sanene adi segerea kuanzia matikiki matano na pia kwa wale wanaotaka mzigo mkubwa ni PM tufanye biashara bei ni poa sana ndugu. Karibuni sana
fanya hivyo hivyo achana na hao jamaa ws temeke na buguruni sokoni wajinga kabisa.....uza mwenyewe tuyes mkuu jamaa wa stereo wanalalia sana. Ndo nataka nifanye ivo pia tatizo mzigo mkubwa halafu weekend ambayo ningepiga biashara mwenywe ntasafiri. Yaani mzigo shamba ushaiva si unajua ukichelewesha yanapasuka mkuu