Hizi gesabu ndio zilikatishaga tamaa ya kusoma engineering.Out of the candidates who sat for a qualifying test at CBE in a certain year, 75% were males. 54% of the female candidates failed and 70% of the male candidates passed. If 135 female candidates failed, how many female and male candidates passed?
N.B:
Usibandike jibu peke yake, onyesha na njia. Ukiweka jibu peke yake nitakuchunia.
Kwa hiyo jibu lako ni lipi hapo mkuu?let the whole class equals to M
and total number of boys equals to Y,
also total number of female equal to X
na hapo ushaambiwa kuwa 75% ya darasa zima ni boys
that means 25% ni female
vile vile umeambiwa kuwa 135 ya female wamefeli ambao ni sawa na 54% ya female wote
kwa hiyo sasa fanya hivi.
54% of X=135
0.54X=135
X=250
kumbe idadi ya female wote ni 250.
papo hapo kumbukua kuwa 25% of the whole class ni female hivyo...
25% of Z= X
0.25Z=X=250
0.25Z=250
Z=1000. ambao ndo idadi ya darasa zima.   ..
hapo kwa haraka haraka utagundua kuwa total number ya boys ni 750.
kwa hiyo idadi ya
boys walio pass exam
70% of 750 == 525
and idadi ya female walio pass exam
46% of 250== 115..
kwa haraka haraka nikiwa kwenye bodaboda akili yangu imeniambia hivi
Hesabu ilikukatishaga tamaa form ngapi?Hizi gesabu ndio zilikatishaga tamaa ya kusoma engineering.
male hapo ni hao 525 and female ni 115Kwa hiyo jibu lako ni lipi hapo mkuu?
Swali linasema "How many female and male candidates passed?"
Out of the candidates who sat for a qualifying test at CBE in a certain year, 75% were males. 54% of the female candidates failed and 70% of the male candidates passed. If 135 female candidates failed, how many female and male candidates passed?
N.B:
Usibandike jibu peke yake, onyesha na njia. Ukiweka jibu peke yake nitakuchunia.
Mkuu, swali lhalimaanishi hivyo, linamaanisha idadi ya wakike waliofaulu ni wangapi na wale Wa kiume waliofaulu ni wangapi, lingeuliza "how many candidates passed ?" Ndo tungejumlisha hiyo idadi na kupata 640 candidates.Kama jibu wameandika kwamba ni 640 candidates WAMEINGIA CHAKA !Njia yako ni sahihi, ila hujamalizia kujibu.
Swali linamaanisha "watahiniwa wangapi 'JUMLA' walifaulu?"
Malizia sasa.
swali limesema ni female wangapi na male wangapi walifaulu mtihani.Njia yako ni sahihi, ila hujamalizia kujibu.
Swali linamaanisha "watahiniwa wangapi 'JUMLA' walifaulu?"
Malizia sasa.
Malizia kujibuSince 135 is the number of female candidates failed, and it is equal to 54%, the total percentage of females = 100% = 1,
Number of girls passed = 100% - 54% = 46% = 0.46 (in decimal) thus,
135 = 0.54
? = 0.46
On cross multiplying
(0.46 x 135) ÷ 0.54
= 115 females.
Thus 115 females passed.
The percent of total girls = 100% - 75% = 25%
= 0.25
0.25 = (115 + 135)
0.25 = 250
0.75 = ?
By cross multiplying,
(0.75 x 250) ÷ 0.25 = 750 total male candidates.
Taking 70% x 750 =
525.Thus, 525 male candidates passed.
Mkuu, swali lhalimaanishi hivyo, linamaanisha idadi ya wakike waliofaulu ni wangapi na wale Wa kiume waliofaulu ni wangapi, lingeuliza "how many candidates passed ?" Ndo tungejumlisha hiyo idadi na kupata 640 candidates.Kama jibu wameandika kwamba ni 640 candidates WAMEINGIA CHAKA !
Ina maana ma-lecture wanadanganya?swali limesema ni female wangapi na male wangapi walifaulu mtihani.
kwa hiyo hapo lazima uonyeshe kwa idadi yao tofauti tofauti
halikutaka how many candidates passed the exams
mkuu..
HUYO LECTURE SIYO MUNGU WALA MALAIKAIna maana ma-lecture wanadanganya? Hili swali ni nimelinakili kama lilivyo kutoka kwenye kitabu cha Study Notes On Business Mathematics Part 2 cha lecture maarufu wa hisabati, Omari M. Kiputiputi. Jibu lake yeye ni 640, yaani kawajumlisha.