Mathematics

M-ental

A-ttack

T-o

H-ealthy

S-tudents

=>give us 4 mathematics.

Mkuu ndugu yangu... Kwanini unaichukia hisabati kiasi hicho?? Ni ubaya gani hisabati iliyopata kukutendea???,,,, au na wewe pia ni mmoja miongoni mwa wale waliopata division III za penalt 4m4 kwa ajili ya hisabati??

Maths ni somo rahisi sana unachotakiwa ni kujua rules of the game baasi, kwa kifupi ni A ya bure kwa level yoyote ile

Maths ni somo rahisi sana unachotakiwa ni kujua rules of the game baasi, kwa kifupi ni A ya bure kwa level yoyote ile

Hujakosea kabisa wala si utani,somo kama history ukisahau mwaka waliokuja wareno nchini hakuna formula nyingine ya kukumbuka jibu,imekula kwako.Lakini ktk hesabu hatukariri tunacheza na formula halafu mwishowe jibu linajileta hata bila kuitwa yaani raha tupu!

bwana Jaguar kumbe upo, yani ukiwa na masomo matatu kama moja ni hesabu unajihesabia una masomo mawili maana hilo moja tayari formula zipo ni kuzingatia mazoezi tu kabla ya game

Mkuu ndugu yangu... Kwanini unaichukia hisabati kiasi hicho?? Ni ubaya gani hisabati iliyopata kukutendea???,,,, au na wewe pia ni mmoja miongoni mwa wale waliopata division III za penalt 4m4 kwa ajili ya hisabati??

hayo ni mawazo ya mabinti wengi sana..Ukwel cogopi hesabu ila huo ni utan nilio ukuta class

Back
Top Bottom