Mathematics...This student must be genius.

Majibu yetu ya form four mnaweka hadharani!
Hahaha. Mwali kama ulijibu hivi basi utakuwa unatisha. Hiyo ni akili ya ziada. Zamani tulikuwa tunaita necha.
 
They were trying to think out of the box...
 
Kwa kweli huyu binti ni kipanga kuliko mwalimu wake.

Dogo akifanyiwa right training anawezd pata A manake anaonekana kumeza mpaka kituo. Ila anifiti zaidi kwenye physics manake kule concept za laws, principles na theory unatakiwa umeze mpaka kituo.
 
Tusidanganyane, hapa hakuna hesabu yoyote..!

Kuna nini hapo mkuu Kama sio hesabu hizi ni concept za infinity, katika hesabu kama kumbukumbu zangu zipo vizuri nilizisoma katika topic ya function Advance na at university kwenye course za Mathematical analysis.
 
Hebu subiri kidogo ni-gooogle hii mambo ya infinity concept then nitakurudi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…