Hi there,
I have accomplished my diploma course this year and i'm now at home with nothing to do. Actually, i'm hereby asking for temporary vacancy else where in Kenya...where i will be waiting my results. hope to hear somthng 4rm u
Unajua kuwa kiingereza cha kuandika ni rahisi zaidi kuliko cha kuzungumza nchini Tanzania na Cha kuandika ni kigumu zaidi kuliko cha kuzungumza huko Kenya na Uganda, Malawi, Zambia na Zimbabwe ?
nimefurahi kuona mchango wako ila mawazo yenye uzito kwa mtu fulani, mtu mwingine akiweka katika mzani wake yanakuwa kwa kiwango kidogo na hekima na busara yako yote inaweza kuwa ni akili ya mtu fulani kufanya jambo tu. Ila kitu ninachoweza kukwambia is teaching and learning process inaweza kutokea kwa good t/l methods, strategies or techniques, but language inaplay part ndogo katika t/l process. Nahisi umepata concept hapo na take an example kuna wachina ambao wanakuja hapa tz kuteach ila hawajui vizuri english na kiswahili...so unamaanisha there could not be teaching??
Unajua kuwa kiingereza cha kuandika ni rahisi zaidi kuliko cha kuzungumza nchini Tanzania na Cha kuandika ni kigumu zaidi kuliko cha kuzungumza huko Kenya na Uganda, Malawi, Zambia na Zimbabwe ?
nashukuru kwa kumhabarisha hyo yote...na kwa kufikilia haraka haraka tu inaonya yeye au mtoto wak au wa ndugu ndio anasoma kwa hzo schools...ila akae akijua elimu inayotolewa ni ile ile ila management na organisation ndio huchange.