Mathayo atoboa siri ya kushindwa Ubunge

Mie nilifikiri mida ya kuhutubia mikutano ya kisiasa eneo la wazo ni saa 12.00, Mh. Zitto alizidisha dk 20 akatiwa rumande (huyo ni Mbunge na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Sasa huyo Mura yeye ni mjumbe tu NEC anaachiwa tu, sasa huoni hapo kuna Double Standard katika ku-enforce utawala wa sheria? Mwanakijiji alikuwa right alipozungumzia Double Standard kulinda sheria.
 
na 2015 CDM watakifanya CCM kuwa chama cha Upinzani kwahiyo watakuwa wengi tu wakitueleza kwanini wameshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…