Math challenge

Ngoja invigilators waamke tukubaliane haya majibu upate✔
Mbona jambo lipo uchi tu hapo mkubwa.

Namba zote kachukua, kazidisha na 5 ya hapo kati akapata majibu ..
Ukifanya kisengele nyuma.. namba za juu kagawanya na hiyo 5 ndio kapata namba za chini
 
Mbona jambo lipo uchi tu hapo mkubwa.

Namba zote kachukua, kazidisha na 5 ya hapo kati akapata majibu ..
Ukifanya kisengele nyuma.. namba za juu kagawanya na hiyo 5 ndio kapata namba za chini
Asante sana ilikuwa ni lazima nikuchokonoe nipate hii formula 🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…