Math challenge

Toa solution yako mkuu, kila mtu aonyeshe njia yake ili tujue nani kakosea, usiseme tu "umekosea"
Jibu 36 kuna mtaalamu mmojq jana naye alikosea na kuandika jibu kama lako nilipo muelewesha alikubali bila shida pitia comenti za nyuma nilimuonyesha kakosea vipi
 
Jibu 36 kuna mtaalamu mmojq jana naye alikosea na kuandika jibu kama lako nilipo muelewesha alikubali bila shida pitia comenti za nyuma nilimuonyesha kakosea vipi
Nitag hiyo comment nione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…