mateso

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Jamaa katenda dhambi zake humu ulimwenguni,alipofariki kaenda kuzimu,
kufika shetani akamwonyeshea vyumba vitatu na achague moja ambayo ndo inakuwa
ya mateso yake.
Kampeleka chumba cha kwanza,jamaa kakuta chumba kina watu halafu imajaa
mavi,watu wapo ndani ya chumba na mavi imewafikia mpaka shingoni,jamaa kamwambia shetani
dah hi chumba siwezi.
akapelekwa chumba kingine,akakuta watu na wametumbukia kwenye mavi na imewafikia mpaka puani,
akasema hapa pia siwezi.
akapelekwa chumba cha tatu,akakuta watu wamesamama halafu mavi imewafikia magotini huku wanakunywa chai.
akamwambia shetani heri hapa,heri niendelee na sala,shetani kusikia hivo kaja juu kawafungulia mavi mpaka wakazama mazima
 
chukua tano mkuu.inamaana alikuwa anatafuta nafuu?
 
bt the orignal one inasema akachagua hko cha 3,alipoingia shetan akasema haya tea breakz z ova evrybody on your headz,kwahyo wajamaa wakadumbukza vchwa kwnye ma**..
 
bt the orignal one inasema akachagua hko cha 3,alipoingia shetan akasema haya tea breakz z ova evrybody on your headz,kwahyo wajamaa wakadumbukza vchwa kwnye ma**..
thanks mkuu for correction
 
bt the orignal one inasema akachagua hko cha 3,alipoingia shetan akasema haya tea breakz z ova evrybody on your headz,kwahyo wajamaa wakadumbukza vchwa kwnye ma**..

labda hii
 
Nice one arifu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…