Mateso mengine ya kujitakia jamani

Mateso mengine ya kujitakia jamani

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,983
Reaction score
1,252,306
Hapo bado sms za JF,watsup,tweeter nakadhalika

Halafu mtu kama huyu analalamika hali ngumu mshahara hautoshi wakati pesa inaishia kwenye bando
18645630_1337640072995773_5143575069011738624_n.jpg
 
Huyu kapania aisee. Halafu utakuta zote hizo hakuna hata moja ya mchongo wa pesa.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Anakwambia "bora nisile lakini bando isiishe."
 
Mbona comments ni negative tu wakuu,kama ni michongo ya pesa je ???.....tusikalili wakuu
Ni kweli. Wengine JF tunakesha nao ila wanapiga mikwanja humu humu. Ni vizuri kuwa positive .
 
Watu wengine ofisi zao ni simu na PC.
 
Back
Top Bottom