Mateso kwa wahamiaji haramu -Hofu kwa wananchi wa Kagera'

inaonekana wewe naye ni mhamiaji haram kwasababu unachokiandika hapa ni cha kijinga sana,,hivi wewe unaweza kuipinga kazi inayofanywa na rais??? kwani kuna mtu aliwaita kuingia tanzania na kuanza kufanya ujambazi?? acha waondoke ili majeshi yetu yatapambana nao vizuri wakirudi kuvamia kama majambazi,,maana sasa hivi wakianza kudeal nao watasema wanawaonea kwavile wapo nchin kwetu na pia acha kutetea ujinga hiyi ni amri ya mkuu wa nchi aliechaguliwa na sisi raia wema na sio kanjanja na mhamiaji haramu kama wewe....na wewe kama ni kitukuu au mjukuu wao au mjomba wao wafuate,,,nenda kwenu maana siku itafika tutakuonda tu
 
Aaron, nyie ndiyo mna tudanganya kuwa kuwa ni Wanyambo au Wahaya, kumbe ni wahamiaji haramu! Utetezi wako, unaonyesha hivyo. Nafikiri kuna haja Serikali kuchukua hatua madhubuti kuwarudisha makwenu. mnasumbua sana kwa matukio ya ujambazi kule kanda ya Ziwa.
 
Last edited by a moderator:
uamuzi wa serikali daima huwa si mmbaya mara nyingi. ila utekelezaji wake huwa unatisha , kwa hiyo hata huyu ndugu anavyodai si kwamba kakosea ni kweli kabisa , niliwahi kushuhudia hizi repatriation, utalia! . wasio kuwemo watakuwemo na wanaotakiwa kuwemo hawatakuwemo ni nguvu ya pesa , kigoma imetokea na nilikuwepo inasikitisha huwezi amini kigoma ilifikia mahali hata unyooshe kiswahili vipi, unaambiwa wewe mrundi au mkongoman labda tu uongee kilugha chenu kama kichaga n.k , vinginevyo kambini!! sasa hapo ndiyo unaenda kumnunua mtu
 
Hapa tumefanya vibaya hawa wengine wamekaa miaka 25 kwanini tunawafanyia unyama hivi?
 
ndugu wana jf.

Ninaandika thread hii nikiwa na huzuni kwa kile kinachotokea mkoani kagera.

Mateso.
Ndg wana jf.. Ninaandika haya nikiwa mzawa wa karagwe-kagera katika vijiji vinavyopakana na nchi za uganda na rwanda.. Wilaya yetu ni miongoni mwa wilaya zenye wahamiaji haramu ambao wengi wao ni familia za wafugaji kutoka rwanda ambazo zimekaa nchini zaidi ya miaka 25.

Pamoja na kukaa kwao kwa miaka hyo yote lakini bado si raia wa tanzania japo mpaka sasa walikuwa tayari sehemu ya watanzania, nikimaanisha wameshiriki ktk shughuli za kijamii kama watanzania na wengne kuzaliana na watoto kusoma ktk shule zetu za serikali wakipewa nafasi kama watanzania' ikumbukwe wengi wao ni wafugaji wanaomiliki mifugo yao wenyewe na wengne wakifuga mifugo ya wazawa.

Ikiwa si mara ya kwanza kurudishwa makwao lakini pale inapotokea inakuwa vilio na simanzi kwa wahamiaji hawa kwani wengi wao ni familia za kipato cha chini.

Na wazee wengne upoteza maisha kutokana na usumbufu wanaoupata pamoja na kuuza mifugo yao kwe bei ya kutupa huku viongozi wa vijiji wakipewa ata ng'ombe ili wawafiche na kutotoa taarifa zao' cha kushangaza wengi wao kama siyo wote hawaamini kama wanaweza kupata uraia kwani walikuwa wakipewa vitamburisho vya mda kutoka wilayani lakini wanapaanza kurejeshwa makwao vitamburisho hvyo haviwasaidii kusema kweli wanateseka mno.

Hatari kwa wakazi wa kagera.

Kwa kuwa wahamiaji hawa wanakuwa wamezoea hapa nchini na kuifahamu vyema' mara warejeshwapo makwao wamekuwa wakirudi na kufanya uharifu wa kutumia silaha (bunduki) na kutufanya wananchi wa kagera hara wilaya za biharamlo' ngara, karagwe tukiishi kwa hofu kubwa.

hatukuelewi hadidhi yako inatufunisha nini???


Tatizo la hawa huwa wanapenyezwa wanakaa hata miaka hamsini na kutaka kuhalalisha kwa nguvu uwepo wao kwa kuzaa na kujukuuu.....tutarudhisha hadi wajukuuu ...futa kule vibali vya karatasi........

Wote waliopewa uraia lazima wawe relocated peleka mikoa ya mbali ........msije mkaanza kutuchagulia viongozi ...wabunge ,wenyeviti wa vyama etc .....fukuza wote

congo mlikaribishwa hivyo hivo walipoambiwa warudi kwao wakaunda jeshi la kuwatetea likisaiddiwa na rwsnda .....hapa tanzqnia tayari wageni washaaanza kujijenga kisilaha .....na ipo siku wakiachwa wakiambiwa wanaondolewa watajitetea na silaha
 
Hapa tumefanya vibaya hawa wengine wamekaa miaka 25 kwanini tunawafanyia unyama hivi?


tena hawa waliokaa miaka 25 kwenda juu ...ndio wanatakiwa waandoke haraka.....na wale wenye VIBALI uraia genuine ....wote tutawahamishia mikoa ya mbali msikae karibu na Rwanda kuendelea na mikakati ya kujipanua...........tuts hamisha vijiji ...Ruvuma,Iringa ...morogoro etc ....Kama tulivoanzisha vijiji Vya wasomali Muheza...

Kwa wale Warwanda wenye uraia .....mikataba usalama wa vizazi vijavyo ...vijiji vyenu vihamie mikoa ya mbali.............miaka ya 60 mwalimu Nyerere aliwaapa watutsi waliofukuzwa vijiji kule Tabora.....unaona wale hadi Leo hawasumbuliwi....

Eneo lote la mpaka lote litamilikiwa na jeshi kwa ajili ya KILimo,UFUGAJI na uwekezaji hakuna vijiji tena !!!!
 
Ni kweli kuna wahamiaji haramu walihamia miaka ya 1934 kisha sasa wakajichanganya na waasilia na kuoana na kuzaliana na kijidai ni wazawa sasa wakaja kuwakaribisha ndugu zao Miaka ya tisini na sasa Ndio wahamiaji Haramu Digtal kazi kweli kweli Ngoja waludi kwao wakabanane kwenye Kataifa Kadogo siku wakilala njaa wataandamana kwanda Nyumbani kwa Kagame kudai chakula chezea Tz wewe !

asante mkuu' ila cjajua kwa unyanyasaji huu kama kagame as kagame anaathirika. Na kwa nini wahamiaji haramu ni hawa masikini ambao hawana mbele wala nyuma' huku serikali ikizidi kuwakumbatia matajili' na waathilika zaidi ni sisi wanakagera pale wanaporudi na kuendeleza vitendo vya ujambazi'
 
tena hawa waliokaa miaka 25 kwenda juu ...ndio wanatakiwa waandoke haraka.....na wale wenye VIBALI uraia genuine ....wote tutawahamishia mikoa ya mbali msikae karibu na Rwanda kuendelea na mikakati ya kujipanua...........tuts hamisha vijiji ...Ruvuma,Iringa ...morogoro etc ....Kama tulivoanzisha vijiji Vya wasomali Muheza...

Kwa wale Warwanda wenye uraia .....mikataba usalama wa vizazi vijavyo ...vijiji vyenu vihamie mikoa ya mbali.............miaka ya 60 mwalimu Nyerere aliwaapa watutsi waliofukuzwa vijiji kule Tabora.....unaona wale hadi Leo hawasumbuliwi....

Eneo lote la mpaka lote litamilikiwa na jeshi kwa ajili ya KILimo,UFUGAJI na uwekezaji hakuna vijiji tena !!!!

hivi mkuu unaongea haya kana kwamba hujui usalama wa tanzania? Mbona wahamiaji haramu wamejaa mikoa yote ikiongozwa na dar kwa wahindi., wasomalia, waarabu na wengne wengi.
 
Analogy 1912-1934 na Digtal 1994-2013 ndipo walijisogeza Tz
Kuna wahamiaji Haramu Analogy na kuna wahamiaji haramu Digtal sasa ni wapi wanaludishwa kwao? Kuna wahamiaji haramu wengi wamejipenyeza wapo wameajiriwa kwenye Taasisi mbali mbali na wengine Ndio huwasaidia kupata vibali na Pasport za Tz Ndio Maana jijini Dsm kuna wahamiaji haramu wengi kuliko huko kagera na kigoma

Mbeya kuna Wahamiaji Haramu wengi toka Malawi na Zambia Lakini wa Zambia ni Ruksa kuishi Tz lakini wa Malawi tunamsikilizia Rais Banda tu siku akipeleka kesi Kudai Ziwa Nyasa ndipo Wahamiaji Haramu toka Malawi watarejeshwa wakabanane huko huko kwao
 
Ardhi haitoshi kwao Rwanda na ufugaji ng'ombe wengi ni kosa la jinai japo wanapenda nyama kazi ipo hv sasa ni full Kubanana huenda wakaenda kuishi chini ya madaraja kama kule Asia Chezea tz wewe
 
Ndo shida ya ule mkutano wa Berlin...Tulikuwa ndugu lakini sasa tunaona sifa kuitetea mipaka ya kikoloni.

Tunatumia muda mwingi kwenye issue zinazotutenganisha zaidi ya zile zinazotuunganisha.
 
Hakuna maana kusema wahamiajai haramu wamesimamisha basi na kupora abiria,kumbe Watanzania ndio tunataka kuwaibia Wanyarwanda ng'ombe zao.
 
Ndo shida ya ule mkutano wa Berlin...Tulikuwa ndugu lakini sasa tunaona sifa kuitetea mipaka ya kikoloni.

Tunatumia muda mwingi kwenye issue zinazotutenganisha zaidi ya zile zinazotuunganisha.

asante mkuu
 
Waende tu kwao, tushachoka na watusi hao..............


Mkuu Mchango wanko ni kuchoshwa na watusi kila unapochangia, wengine tunaongelea issue na matukio wewe umejikita kwenye kabila la watusi. Nini hasa kinachokwambia wahamiaji haram ni watusi tu na siyo tabaka lingine, mbona unafurashwa zaidi na maumivu ya watusi? Yaweza kuwa wewe ni Nterahamwe umejificha unazuga ni muha wa kigoma na mzalendo wa Tanzania. Watusi wengi sana wamechanganyikana na wahaya, wanyambo na wahangaza na sidhani myamwezi au mgogo, ama mnyakyusa anaugomvi na kabila la watusi zaidi ya kosa la kuishi bila kufuata sheria. Sasa wewe issue ni watusi!!!! Naomba uwe wazi kutujulisha wewe na watusi mliishi wapi pamoja wakakuchosha?
 
Uhalifu wa silaha utaongezeka sana kwenye mapori ya Karagwe Ngara na Biharamulo hawa watu wanyajua sana haya mapori na kwao shida ni nyingi watakuwa wanakuja kuvuna huku kwa mtutu wa bunduki watz watapata shida sana baada ya Operesheni hii labda hayo majeshi yetu yakimaliza op yabakei huku maporini.

usihofu ndugu, tuna namba nzuri tu ya wanajeshi hivyo tutalinda mipaka yetu! mhalifu si mtu hata umpende vipi/ hata umpe hifadhi, ipo siku atakugeuka tu! ngoja tu warudi kwao kwanza, natumai Raisi wao atawaandalia sehemu nzuri tu za kuishi!
 
Ndugu mhamiaji haramu mbona hujafunguka kuhusu mateso mnayoyapata wakati mnarejeshwa kwenu,hivi ulitegemea nini kukaa nchi ya watu zaidi ya miaka 25 bila kuomba nakupata uraia.
Kwa kadri ninavyojua wengi wenu mmejipenyeza kwa kuonga serikali za vijiji na maafisa wa uhamiaji kuwapatia vibali vya kuendelea kuwepo hapa nchini.Kwa kutumia jeuri ya pesa mmefanikiwa kupata uongozi kwenye serikali hizohizo za vijiji na hivyo kupata mwanya wakuwaingiza wenzenu na mifugo kwa kadri mnavyotaka.Mnatamba eti sisi hatujui kingereza wala kifaransa lakini ng'ombe wenu wanazijua hizo lugha kwa ufasaha maanake kwenye udhia weka ng'ombe.
Wakati Kagame anawahamasisha kutokuwa na mifugo mingi nchini Rwanda kuzuia uharibifu wa mazingira, mnakimbilia huku kwwenye shamba la bibi ambako hawajui kuifadhi mazingira kamwambie Kagame kuwa bibi keshafariki sasa wajukuu zake wamecharuka hawataki mzaha tena.
 
Ndugu wana Jf.

Ninaandika thread hii nikiwa na huzuni kwa kile kinachotokea mkoani Kagera.

MATESO.
Ndg wana jf.. Ninaandika haya nikiwa mzawa wa Karagwe-Kagera katika vijiji vinavyopakana na nchi za Uganda na Rwanda.. Wilaya yetu ni miongoni mwa wilaya zenye wahamiaji haramu ambao wengi wao ni familia za wafugaji kutoka Rwanda ambazo zimekaa nchini zaidi ya miaka 25.

Pamoja na kukaa kwao kwa miaka hyo yote lakini bado si raia wa Tanzania japo mpaka sasa walikuwa tayari sehemu ya watanzania, nikimaanisha wameshiriki ktk shughuli za kijamii kama watanzania na wengne kuzaliana na watoto kusoma ktk shule zetu za serikali wakipewa nafasi kama watanzania' ikumbukwe wengi wao ni wafugaji wanaomiliki mifugo yao wenyewe na wengne wakifuga mifugo ya wazawa.

Ikiwa si mara ya kwanza kurudishwa makwao lakini pale inapotokea inakuwa vilio na simanzi kwa wahamiaji hawa kwani wengi wao ni familia za kipato cha chini.

Na wazee wengne upoteza maisha kutokana na usumbufu wanaoupata pamoja na kuuza mifugo yao kwe bei ya kutupa huku viongozi wa vijiji wakipewa ata ng'ombe ili wawafiche na kutotoa taarifa zao' cha kushangaza wengi wao kama siyo wote hawaamini kama wanaweza kupata uraia kwani walikuwa wakipewa vitamburisho vya mda kutoka wilayani lakini wanapaanza kurejeshwa makwao vitamburisho hvyo haviwasaidii kusema kweli wanateseka mno.

HATARI KWA WAKAZI WA KAGERA.

Kwa kuwa wahamiaji hawa wanakuwa wamezoea hapa nchini na kuifahamu vyema' mara warejeshwapo makwao wamekuwa wakirudi na kufanya uharifu wa kutumia silaha (bunduki) na kutufanya wananchi wa kagera hara wilaya za Biharamlo' Ngara, Karagwe tukiishi kwa hofu kubwa.

....Noted.....

Hoja yako ni ipi sasa?? What is your central msg??

Ni kweli........sehemu husika zinahitaji ulinzi wa kudumu ili hawa wavamizi/wahamiaji haramu wasirudi tena.......kwani hili limeshatokea........wananchi wanahitaji kuhakikishiwa ulinzi imara......

Nyinyi mnamatatizo, nchi sio yenu mnang'ang'ania ya nini???!!...
Wewe rudi kwenu usitafute huruma ya kupata uraia wala uraia hautafutwi hivyo.
Nyinyi mnaajenda zenu sasa zimefeli mnaanza kupiga KAMPENI YA KUPATA HURUMA HARAMU.
Wewe kwa kuwa unajuajua kiswahili ndio wamekuteuwa upige kampeni ! Si ndio?.
TUNAFAHAMU mpo wengi kwa ajili ya kampeni ya kutafuta huruma ili mhalalishwe. Alafu baadae mje mtuumize. Nyinyi ndio mnao sababisha vurugu eneo lote hili la Afrika mashariki hasa Kongo.
NITAMSHANGAA RAIS KAMA ATAWAONEA HURUMA NA KUWAHALALISHA. Akifanya hivyo atakuwa ametusaliti watanzania wazalendo wa nchi hii. WENGI SANA KUTOKA RWANDA NA BURUNDI MMEPEWA URAIA WA NCHI HII. SASA INATOSHA, TANZANIA SIO NCHI YA KUJICHUKULIA CHUKULIA URAIA OVYO. ALAFU NCHI ZENU HAZINA SHUKRANI KABISAAAA. Zinatutenga na kuikumbatia Kenya. Mwambieni Kagame awapeleke Kenya mkaishi, mtapewa ardhi kubwa na uraia kama tulivyowapa wale wenzenu wakimbizi. URAIA MNAKUJA KWETU, BIASHARA NONO MNAENDA KENYA, pumbaf... zenu.

......infact...... in other words....anakutaarifu kuwa watakuja kufanya uhalifu....huku wakidai mali zao....hili ni jambo lilishawahi kutokea na wala sio mara moja........we should take this message seriously!........

....unajua hawa wahamiaji haramu kama...alivyobainisha mleta mada (kuhusu vibali FEKI vya kata na wilayani).....sehemu kadhaa ni mradi wa watu fulani (viongozi) kujipatia pesa.......viongozi wengi sehemu hizi wametengenza sana pesa.......na ndio maana Kikwete alilaumu sana TAKUKURU, Polisi na Uhamiaji kufumbia macho vitendo hivi........infact hata wao wanakata au wanakatiwa pesa nyingi sana........again this is my first hand experience...sijasimuliwa!!.....

...inaelekea watu wengi hii issue hawaielewi/hawaelewi madhara!!.......
 
Back
Top Bottom