tumia kiswahili mtanzania naona unateseka...
hajui kuwa lugha za wenyewe hzo yeye ameakandamiza tu ilmradi asound hapa
mchumba mbona kimya? nimekupm,picha nimetuma
na deriva report nimepata...
Ni bora kujaribu kuliko kuwa mkosoaji " Practice makes perfect" move on,,,
Kichwa cha somo kinamaanisha unataka mke mpenda maisha (magari sio virtz, macheni ya gold, shopping dubai nk... ) halafu chini unaonyesha ndio kwanza unaanza kulisaka life
Kwa maana nyingine kwa uzi huu tayari ameshajifunza kitu na hata rudia makosa tenaNi bora kujaribu kuliko kuwa mkosoaji " Practice makes perfect" move on,,,
Koh koh...hapani fai.nshajzalia kijj miee