GE2025 Matendo ya Polisi wetu yanaidhalilisha serikali sana

GE2025 Matendo ya Polisi wetu yanaidhalilisha serikali sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mswahili anampiga mswahili kwa posho ndogo aliyopewa na gabachori mwanamtandao Raaziz ambaye yuko nyumbani kwake Masaki anawaangalia kwenye screen.
 
Polisi wanazidi kutengeneza chuki siku raia kila mmoja akitoka na jiwe mkononi ndio mtaelewa makasiriko ya wengi ni mabaya kuliko ya wachache
 
Hahaha wewe ndiye uelewi, polusi na matendo yao ni kuwalinda watawala siyo nyie na siyo kuwadhalilusha, bali ni kuwajengea nyie hofu.
 
Back
Top Bottom