Bwege hiliTatizo lako unaonekana nawe si mchakataji.
Hayo mambo madogo madogo yasingekupa shida.... Halafu unasindikizaje mtoto wa kike tena anaenda kwa bwana(mwanaume mwenzio)?
Naamini mleta uzi utakuwa na matatizo yako mengine tofauti na haya uliyoyaandika.Kuanzia siku hio hamu ya kuchakata papuchi imekata. Kila kiumbe ninayemuona mbele yangu hata awe mzuri kiasi gani, kumbukumbu ile mbaya inanijia kichwani, naishia kusononeka badala ya mnara kusoma.
Aaamin, hayo mengine waachie mabaharia.Kumbukeni kunawa mikono Kwa maji tiririka na satinizer!
Big point hawa wanawake zetu bwana usipokua na backup utakufa mapemaDon't take women too serious mdogo wangu utakufa mapema.
Wanawake wapo kwa ajili ya kutupatia raha na furaha katika maisha haya ya Duniani. Usiwachukulie serious sana.
Hua nawashauri vijana, hakikisha huwacbukulii wanawake serious, kua na wanawake angalau 3, tafta hela angalau ya kuhonga na kununua mwanamke pale inapobidi.
Usipende mwanamke na wala usimpe mwanamke moyo wako(wanaume wengi huishia kujinyonga pale wanapowapa wanawake mioyo yao kisha wakanawake wakafanya kinyume na matarajio yao)
Pole sana.
Linapofika suala hilo mabaharia hawana huruma wanachukua hadi wanawake vichaa waokota makopo na sura mbaya.
Mkuu, siku hz umekumbwa na nn, mbona mitusi sana nowdays. Au ugumu wa maisha Mzee Baba .. hahahahaBwege hili
Dah.....!Naamini mleta uzi utakuwa na matatizo yako mengine tofauti na haya uliyoyaandika.
Duuuuu.....aiseeee!Linapofika suala hilo mabaharia hawana huruma wanachukua hadi wanawake vichaa waokota makopo na sura mbaya.
Wewe mzima sura mbaya so kikwazo kwa mabaharia.
Mimi nawashauri vijana kama wanaoa waoe tu wanawake wazuri sana, lakini wajiandae tu kisaikolojia kwamba lolote baya linaweza ktokea.
Likitokea unaendelea na maisha, No hard feelings and life goes on.
Hakuna kujiuwa au kuuwa sababu ya mapenzi, hakuna kuwaza sana unaweza kuwa kichaa sababu ya penzi.
Ukifanya uzembe huo hapo juu unawaachia wenzio waendelee kumega kisela mwanamke wako bila kikwazo wewe ukiwa marehemu au chizi au ukiwa jela kwenye death row unasubiri kitanzi.