kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,493
Yap mkuu,,,Wanawake cna comment kuhusu hawa viumbe maana alchonfanyia mama swalehe ni huzun na masikitiko
Tupe kisa mkuu tupate chakujifunzaWanawake cna comment kuhusu hawa viumbe maana alchonfanyia mama swalehe ni huzun na masikitiko
Tuliza kichwa mkuu, let it go,,, ukiona hivyo ujue umeepushiwa kituMkuu ni huzun ni mwanamke nlyempenda nlyekuwa tayar kufa kwa ajili yake note a joke mkuu nlkua npo tayari kudharirika sababu yake sijui nkwambiaje mkuu sikuwa taman kumwona akilia alinikosea Mara nyingi sana na kutaka aniache Mara kibao nliumia na kumsamehe mkuu ni huzun kaniambia nmwache na maisha yake aendelee na life na Mimi mkuu now days damu imepungua mwlini na anajua yaan nnaumwa lkn mwanamke bila hiyana anakuacha kipind ambacho unaumwa yan mkuu ni hatar si watu wengne cwez kwenda jukwaa LA MMU et nmeachwa ni majungu tu ndo hayo mkuu ushaur unaweza toa
Sasa mkuu nipe mbinu za kutuliza kichwa yaan Cjui nfanyejeTuliza kichwa mkuu, let it go,,, ukiona hivyo ujue umeepushiwa kitu
Join friends, sports, na other staff inazopreferSasa mkuu nipe mbinu za kutuliza kichwa yaan Cjui nfanyeje
Tafuta kamchepukoSasa mkuu nipe mbinu za kutuliza kichwa yaan Cjui nfanyeje