Matembezi ya hisani yapoje?

Thread Starter

JF-Expert Member
Mar 16, 2017
1,372
1,031
Habarin wadau, samahani naomben kuuliza eti matembezi ya hisani yapoje yapoje kwa maana huwa nasikia watu fulani wameandaa matembezi ya hisan kuchangia labda watu wenye kansa,elimu, mayatima, au watoto wenye mahtaji maalum

Sasaje hela zinapatikanaje wakitembea au kuna watu huwa wanatoa? nieleweshen tafadhali nataka kujua
 
Swali zuri sana...binafsi kwa uchache najua huwa lengo maalumu ni kutoa msaada wa kijamii,lakini ili kuraise awareness na kutaka uungwaji mkono kwa maana ya umma ndo maana matembezi hubuniwa kutoka sehemu Fulani hadi sehemu Fulani isipokuwa tayari kuna makampuni yanakuwa yamejitolea...sio kudhamini in real case,kiasi Fulani kama namna ya wao pia kurudisha katika jamii,ndio hapo watu mmojmmoja wakichagizwa na mtu mmoja maalufu anaweza kuwa mwanasiasa kiongozi nk huweza pia kuongoza kwa harambee na ununuzi wa vitu mbalimbali kama t-shirts nk
 
asant mkuu umenfungua macho mkuu kidogo
 
Back
Top Bottom