Ni kweli watu wengi huku mjini wanaishi maisha ya anasa sana usafiri kwa ndege, likizo ughaibuni, subiri sherehe au msiba utokee walipokulia,aibu utaona wewe sijui ni ulimbukeni au ndio kukosa akili. Watu husema wana akili za kujaza majibu sahihi kwenye makaratasi lakini sio ubongo wa kufikiri