matema beach

Ipo Kyela Tanzania. Hiyo milima nyuma ni Safu za milima ya Livingstone. Ukipanda hiyo milima ukitelemkia nyuma yake ni Makete. Halafu Dada Joy ndio anatuambia hiyo pwani yote mpaka Kyela mjini ni kwa Malawi,tutamchapa!
 
Matema tuliendaga tour enzi zile nasoma shule fulani kule Mbeya..........

ni sehem nzuri sana......
 
Nice ..Hongera Tanzania "tujipange kuvutia utalii, watakuja kwa mbio za Usan Bolt 100m"
 
hakika ni pazuri! nimefika mara kadhaa,unakaribishwa pia
 
Ngoja nijipange ,nimlete Obama wakati wa mapumziko ya kipupwe
 
Nilidhani lile Basi sijui km bado yapo hahaha, Utajiri wa TZ huo lkn CCM hawawezi kuutumia kutuondoa hapa tulipo

Alaf wee jamaa weeeee achaga be! usinikumbushe kina kiswele, Ilangamoto, twiga, na hiyo Matema Beach....hata mimi nilidhani ni hayo mabasi mkuu.

Hata hivyo pametulia sana mkuu, inanihamasisha kuanza kuuchukulia utalii kwa mtazamo tofauti. Safi sana englibertm
 
Last edited by a moderator:
Gharama zikoje km chakula na maladhi,Nijuze kidogo kwa anayefahamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…