Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,465
- 7,863
- Thread starter
- #81
Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo baada ya magaidi wa hamas kushindwa katika vita walivyovianzisha wao wenyewe!!Ina maana Malkia Zumaridi mmeshindwa kuwaokoa mateka wenu kwa muda wa miaka 2 kutoka mikononi mwa wanamgambo wa Hamas, licha ya msaada mkubwa kutoka Marekani na Ulaya