zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,534
- 40,577
Hakuna uhuru bila gharama hata Tanzania tulifilisika kisa vita ya kumtoa Idd Amin.Wapalestina majinga sana.
Tukio walilolifanya 7 Oktoba 2023 limewagharimu sana kwa baadhi yao kuuliwa, kupata ukilema, miundo mbinu kama maji, barabara, umeme na majengo kuharibiwa, kwa ujumla eneo lao lharibiwa.
Mpaka Uingereza imetambua taifa la palestina basi unaweza ona nani kamaliza vita hii akiwa loser.