Mateka wa Israel wote wako nyumbani

Mateka wa Israel wote wako nyumbani

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,429
Reaction score
6,514
🇮🇱
Sasa mateka wetu Wapo nyumbani

Kutoka kwa Kfar Aza, Nir Oz, na Nahal Oz - walichukuliwa kutoka kwa nyumba zao, wengine wakiwa wamevalia nguo za kulalia kutoka vitandani mwao.

Mnamo Oktoba 7, magaidi wa Hamas walishambulia kibbutzim yao - kuua, kuchoma na kuteka nyara familia.

Leo, baada ya siku nyingi gizani, hatimaye wako huru.

Benjamin Netanyahu amefeli sana! Kushindwa kuwakomboa mateka kwenye kaeneo kadogo tu kama Gaza kutoka kwa Hamas, huku ikiwa na vyombo vingi maarufu vya uchunguzi mfano MOSSAD, Shin Bet, nk ni aibu kubwa kwake.

Ametumia nguvu nyingi, kuliko akili! Leo sifa zote amepewa Donald Trump kwa kufanikisha mchakato wa kuwakomboa, badala ya yeye!
 
Kwa sababu u mjinga ngoja tukufahamishe tu.
Oct 07.2023 magaidi wa Hamas waliwateka watu 251 na leo hii mateka 251 ndiyo wameachiwa na magaidi hao baada ya IDF kuamua kuimaliza kazi kwa nguvu za kijeshi bahati mbaya sana Magaidi hao wakaliona hilo na kuamua kuwaachia Mateka wote ndiyo ikawa pona yao!!

Kuwarudisha nyumbani mateka wote ilikuwa moja ya ya malengo ya Israel kwa hiyo si kutafuta sifa ilikuwa ni kuwarejesha Mateka nyumbani kwa njia yoyote ile.

Wewe endelea tu kubwabwaja maana Hamas sasa hawana Lao Oct 07.2023 haikuwaletea Friday yoyote ile zaidi tu wamepoteza 58% ya ardhi ya Gaza na kisha kupoteza utawala huko Gaza, viongozi wao wote kuangamizwa, kusababisa Hassan Nasrallah na Hezboullah yake kusambaratishwa, Aliyekuwa rais wa Syria kupinduliwa Nyokonyoko zilizokuwa zinatoka Syria, Iraq na Lebanon sasa kimya utafikiri wamesafiri kumbe wapo Mbwa hao!!!
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeona Gaza ceasefire kama victory kwa Israel.

Hata Netanyahu mwenyewe hajathubutu kutangaza ushindi kwa sababu malengo makuu matatu ya Israel yameshindwa waziwazi

Kuondoa Hamas kabisa , failed.
Baada ya mwaka mzima wa mashambulizi ya anga, ardhini, na kizuia misaada ya kibinadamu, Hamas bado ipo,

Kuwakomboa mateka wote failed pia.
Kiasi kikubwa cha mateka wameachiwa kupitia makubaliano ya kubadilishana (prisoner swap), si operation za IDF.

Wengi wameachiliwa baada ya mazungumzo kupitia Qatar na Egypt, sio kwa IDF kuingia kuwakomboa physically.
Hata Waisraeli wenyewe wanaukosoa serikali yao kwa kushindwa kuwaleta mateka kwa njia ya kijeshi ndiyo maana presha ndani ya Israel ni kubwa kiasi kwamba Netanyahu yuko kwenye political survival mode.

Kurejesha heshima ya usalama wa Israel pia failed imeporomoka vibaya.

Kabla ya Oct 7, dunia nzima iliamini MOSSAD na IDF ni invincible
Leo, credibility yao imeporomoka hadi hata Waisraeli wenyewe wanakosoa intelligence yao hadharani.

Halafu unasema Hamas wamepoteza 58% ya ardhi ya Gaza, Gaza ni eneo dogo la watu milioni 2 lenye 360 km tu hiyo siyo ardhi ya kutawala kama nchi hio 58 sijui umepigaje hesabu zako

Lakini kwakuwa wewe ni mlokole na walokole huwaambii kitu kuhusu Israel

You’re too baptized in your religious bubble propaganda to see what’s really happening.
20251011_210340.jpg
 
Huu mgogoro nilichojifunza ni kuwa haya mashirika tunayoambiwa ya kijasusi ni hatari na majeshi yanafanya mission hatari tulikuwa tunapangwa.

Nadhani ni muda umefika wakuelezwa ukweli ile oparesheni ya uganda ilifanyikaje.

Itakuwa kuna watu waliuza ramani na wakasaidia mpango kitu ambacho kwa pale Gaza wauza ramani walipo mateka walikosekana.

Ila all in all inaweza kuwa waliovamia israel kile kipindi wengine walipangwa ili watu wapate sababu yakubonda.
 
Naona Kuna wafuga majini Wana jifariji kwenye huu Uzi in short ni kua Hamas ime feli, Hezbollah imeanguka, Syria ina utawala mpya, Yemen Wana jikongoja, Iran Bibi Yao ndo yuko Uchi kama wa kuku
Iraq Chali ....
Ni kua malengo ya Bibi yame fanikiwa 200%
 
Israel ilikuwa overrated sana kuliko uhalisia, Hakuna intelligence Kali Wala Nini ila wanawatumia vibaraka tu kitu ambacho Kwa Gaza kilikosekana, wakafanikiwa objective ya kuacha magofu tu ila the rest wamefeli, na Sana sana imeongeza chuki Dunia nzima na maadui nchi jirani
 
Palestinians are there to stay in Gaza, reconstruction will start maisha yaendelee
The end of greater Israel, the start of the state of Palestine
Dunia imezidi kuwatenga racist zionist genociders na kuwatambua uhalisi wao
Hiyo taifa teule ni myths ya kijinga tu kuhalalisha settler colonialism, apartheid na murderous racist ideology ma watu duniani kote wameona wanamgambo wakitetea taifa lao na bado wapo wakitawala eneo lao
Wale walioshabikia genocide na starvation mjitafakari utu na ubinadamu wenu na dini mnazofuata kama ndivyo zinavyofundisha
Muwe na moral compass na empathy
 
Naona Kuna wafuga majini Wana jifariji kwenye huu Uzi in short ni kua Hamas ime feli, Hezbollah imeanguka, Syria ina utawala mpya, Yemen Wana jikongoja, Iran Bibi Yao ndo yuko Uchi kama wa kuku
Iraq Chali ....
Ni kua malengo ya Bibi yame fanikiwa 200%
Wanawaona hamas kama washindi. ...hamas Hawa waliovamia nchi nyingine , kuua, kuteka na kubaka Hadi maiti...hio haitoshi wakawa Sasa wanawatumia wanawake na watoto kama kuwakinga dhidi ya mabomu na mashambulizi makali kutoka taifa teule la Mungu Israel...tena waamshukuru trump mana mwamba Benjamin alikua anaenda kuifanya Gaza kua jangwa la Sahara part 2...
 
Palestinians are there to stay in Gaza, reconstruction will start maisha yaendelee
The end of greater Israel, the start of the state of Palestine
Dunia imezidi kuwatenga racist zionist genociders na kuwatambua uhalisi wao
Hiyo taifa teule ni myths ya kijinga tu kuhalalisha settler colonialism, apartheid na murderous racist ideology ma watu duniani kote wameona wanamgambo wakitetea taifa lao na bado wapo wakitawala eneo lao
Wale walioshabikia genocide na starvation mjitafakari utu na ubinadamu wenu na dini mnazofuata kama ndivyo zinavyofundisha
Muwe na moral compass na empathy
Rubbish ...mnawatetea magaidi waliovamia nchi nyingine kuua kubaka na kuteka ...wamekufa magaidi na raia zaidi ya elfu 70..mshukuruni trump mambulula nyie
 
Wanawaona hamas kama washindi. ...hamas Hawa waliovamia nchi nyingine , kuua, kuteka na kubaka Hadi maiti...hio haitoshi wakawa Sasa wanawatumia wanawake na watoto kama kuwakinga dhidi ya mabomu na mashambulizi makali kutoka taifa teule la Mungu Israel...tena waamshukuru trump mana mwamba Benjamin alikua anaenda kuifanya Gaza kua jangwa la Sahara part 2...
Samahani ndugu!
Naomba nitangulize interest zangu kuwa mm ni mkiristo pure!
NISAIDIE, UTEULE WA ISRAEL UKO WAPI?
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeona Gaza ceasefire kama victory kwa Israel.

Hata Netanyahu mwenyewe hajathubutu kutangaza ushindi kwa sababu malengo makuu matatu ya Israel yameshindwa waziwazi
Wewe ndiyo Huna akili ambaye
Samahani ndugu!
Naomba nitangulize interest zangu kuwa mm ni mkiristo pure!
NISAIDIE, UTEULE WA ISRAEL UKO WAPI?
Aliyekuuliza wewe Mkristo ni nani? Acha kujipendekeza kwa Wakristo. Acha ujinga!!
 
Back
Top Bottom