Msani,hivi yote yanayoandikwa humu MMU unayaamini Mkuu?Chujio muhimu hapa MMU!
Bishanga,mi kwa kiasi fulani huwa najua kuwa kunakumaanisha humu mmu tofauti na kule kwenye jokeslabda ngoja nifungue ukurasa mwingine na nichukue chujio nitembee nalo humu mmu,si unaona hata AshaDii naye aliwaza kama mimi,sasas hao wanaohitaji ushauri kwa GT!!!!!!!!!!!!!!!Msani,hivi yote yanayoandikwa humu MMU unayaamini Mkuu?Chujio muhimu hapa MMU!
Duu hii inaashiria nini?Bei Mbaya,maaana naanza kupata vitu tofauti na tafsiri mkanganyo hasa hapa kwenye mmu kwani wengi utasikia eti umri wangu mdogo mi nikadhani humu hakuna mabinti wa umri mdogo ambao wanahitaji wanaume wa kuwa nao ndani ya ndoa.hawa wanaume wenye umri mdogo wanaongozwa na tamaa, they are not serious
wanawake wenye umri mkubwa hawana jinsi, wamefanya maamuzi magum kusaka ndoa hapa
Habarini wana JF!
wanawake wanaotafuta wanaume wa kushi nao hapa MMU wana umri mkubwa sana tofauti na wanaume wanaotafuta wanawake wa kuishi nao ndani ya ndoa au hata katika mahusiano ya kawaida!
nimeona wanaume asilimia kubwa wanadai umri wao mdogo tofauti na mdada anayetafuta mwanaume
tatizo ni nini ktk jamii hii
watu wanachangamsha jamvi tu sidhani kama wapo serious.