MATCH DAY:AT.MADRID VS R.MADRID(live)

MATCH DAY:AT.MADRID VS R.MADRID(live)

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,993
Reaction score
11,879
Real wanaongoza 1 goli limefungwa na benzema,
 
Mechi ina kasi kwelikweli ila refa hayupo makini,anawanyima at madrid tuta la wazi kabisa
 
Koke anasawazisha,
game 1 kwa 1 sasa
 
tupe updates mkuu tv yangu imegoma leo halafu sijisikii kutoka kabisa
 
Ligi Ya Spain Haivutii. Sikumbuki Lini Niliangali Ligi Yao.
 
Kweli hiyo ni moja kati ya ligi bora duniani,A.Madrid huenda wakaitoa timu kubwa ya A.C Milan.
 
half time 2-1 atletico wamepata goli mfungaji gabi, ni bonge la goli shuti kama mita 35 hivi
 
Goli kali sana atletco wanapiga
2 kwa 1 sasa
 
awa madgo ata uefa watafika mbal ni shiddah.....RMA itabid wakaze sn
 
Mpira ndo umeanza 2nd half
 
Faulo inapatikana karibu kbs ktk lango la madrid
 
Costa anakosa yeye na kipa,madrid wasipoangalia,inaweza kuwa handcap win
 
Kuna jamaa kaingia uwanjan anataka kumtandika refa,
refa huyu leo ana kazi
 
refa anataka kupigwa na mmoja wa benchi la ufundi la atletico baada ya kukataa penalti ya pili na kutoa yellow kwa d costa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom