Matatu (Daladala) Za Zanzibar 2018

Matatu (Daladala) Za Zanzibar 2018

Thats a culture ..ebu leta matatu za Lamu
Hii ndo pimped matatu ya Lamu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Screenshot_20181121-200734.png
 
Lamu ndani mitaani hakuna gari hata moja, achana na za matatu. Ndio maana panaitwa 'ancient town', yaani ni town iliyojengwa miaka 700 iliyopita, enzi hizo kabla ya magari na pamebaki hivyo hivyo hadi sasa. Kazi ni kucopy & paste tweets tu bila hata ya kuzisoma kwanza. Safi sana, endelea kututangazia vivutio vyetu vya utalii.
Kwa hiyo zanzibar ni wapi??? Unajua historia yazenji ??
 
Kwa hiyo zanzibar ni wapi??? Unajua historia yazenji ??
Jombaa hamna popote nilipotaja Zanzibar, mimi nimeeleza tu urithi, historia na tamaduni za Lamu. Hakuna gari lolote, liwe la kibinafsi ama la usafiri wa umma ambalo linaweza likaingia ndani mitaani Lamu. Mitaa ya Lamu town na visiwa vya Shela na Kiwayuu ilijengwa miaka 700 iliyopita, kabla ya magari kuonekana bara hili. 'Streets' zake ni za kitamaduni, za uswahili, nyembamba mno. Usafiri wa kisasa kule ni 'motor boat' tu. Nimefika kule na nikaishi kwa muda, na ni 'paradise' sio mchezo. Kama Zenji utamaduni wake ni wa kubeba watu kwenye malori ya kubebea mizigo hiyo ni freshi pia. Haina presha.
 
Back
Top Bottom