Matatu za Lamu Kenya😂😂😂👇👇👇👇Watu wanabebwa kama mizigo wakitumia canter na Pick up
View attachment 941529View attachment 941530Mizigo juu watu chini
View attachment 941531
View attachment 941532
so sad
View attachment 941534
View attachment 941536
Hizo zinaenda hell😂😂😂Kwanini matatuu hapo KE ziko pimped kama zinaenda heaven?
JUU KENYA NI HEAVEN NYIE TUNAELEWA MPO AHERA.Kwanini matatuu hapo KE ziko pimped kama zinaenda heaven?
Mbona kwenye hii picha yako ya mwisho kuna matatu ya kweli hapo nyuma? Hahaha! [emoji1] Ndio utamaduni wa waswahili huo. Lamu ni UNESCO World Heritage Site, kuna mitaa kule ina nyumba za kitamaduni za waswahili na barabara nyembemba na hakuna gari ya aina yeyote ile inaweza pata nafasi ya kuingia. Zilejengwa miaka ya 1800AD. Kutamu sana kule Lamu na kisiwa cha Kiwayuu.Matatu za Lamu KenyaView attachment 941596
Aliye kuibia simu anakutesa sana.😂😂😂😂Saa ngapi unatoka kwa internate cafe???😂😂😂
Isnt Zanziba a UNESCO world heritage???😂😂😂Mbona kwenye hii picha yako ya mwisho kuna matatu ya kweli hapo nyuma? Hahaha! [emoji1] Ndio utamaduni wa waswahili huo. Lamu ni UNESCO World Heritage Site, kuna mitaa kule ina nyumba za kitamaduni za waswahili na barabara nyembemba na hakuna gari ya aina yeyote ile inaweza pata nafasi ya kuingia. Zilejengwa miaka ya 1800AD. Kutamu sana kule Lamu na kisiwa cha Kiwayuu.
Lamu ndani mitaani hakuna gari hata moja, achana na za matatu. Ndio maana panaitwa 'ancient town', yaani ni town iliyojengwa miaka 700 iliyopita, enzi hizo kabla ya magari na pamebaki hivyo hivyo hadi sasa. Kazi ni kucopy & paste tweets tu bila hata ya kuzisoma kwanza. Safi sana, endelea kututangazia vivutio vyetu vya utalii.Isnt Zanziba a UNESCO world heritage???
Okay ambia God hi hapoJUU KENYA NI HEAVEN NYIE TUNAELEWA MPO AHERA.