Peter Mabala JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 1,216 Reaction score 1,685 Sep 12, 2018 #21 Sky Eclat said: Yanakwenda na mfungo wa nguvu hata miezi mitatu. Click to expand... Ni kujipanga haswaa na kukata shauri moja kwa moja. Kijana inambidi aelewe ni kwanini anahitaji kufunguliwa? Kama ni kwa lengo la kufanya uhuni, maombi hayo hayamfai. Inambidi ajitulize katika mikono salama na kuyaishi maisha ya utakatifu.
Sky Eclat said: Yanakwenda na mfungo wa nguvu hata miezi mitatu. Click to expand... Ni kujipanga haswaa na kukata shauri moja kwa moja. Kijana inambidi aelewe ni kwanini anahitaji kufunguliwa? Kama ni kwa lengo la kufanya uhuni, maombi hayo hayamfai. Inambidi ajitulize katika mikono salama na kuyaishi maisha ya utakatifu.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Sep 12, 2018 #22 kiwembe 023 said: Ni kujipanga haswaa na kukata shauri moja kwa moja. Kijana inambidi aelewe ni kwanini anahitaji kufunguliwa? Kama ni kwa lengo la kufanya uhuni, maombi hayo hayamfai. Inambidi ajitulize katika mikono salama na kuyaishi maisha ya utakatifu. Click to expand... Kuna michezo hapa duniani kuna wakati niliipitia ndipo nulipojua shetani ni mshenzi.
kiwembe 023 said: Ni kujipanga haswaa na kukata shauri moja kwa moja. Kijana inambidi aelewe ni kwanini anahitaji kufunguliwa? Kama ni kwa lengo la kufanya uhuni, maombi hayo hayamfai. Inambidi ajitulize katika mikono salama na kuyaishi maisha ya utakatifu. Click to expand... Kuna michezo hapa duniani kuna wakati niliipitia ndipo nulipojua shetani ni mshenzi.
Peter Mabala JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 1,216 Reaction score 1,685 Sep 12, 2018 #23 Sky Eclat said: Kuna michezo hapa duniani kuna wakati niliipitia ndipo nulipojua shetani ni mshenzi. Click to expand... Maisha ya wanadamu yametawaliwa na madarasa mbalimbali. Kila hatua inadarasa lake. Na amini Mungu alikuvusha salama.
Sky Eclat said: Kuna michezo hapa duniani kuna wakati niliipitia ndipo nulipojua shetani ni mshenzi. Click to expand... Maisha ya wanadamu yametawaliwa na madarasa mbalimbali. Kila hatua inadarasa lake. Na amini Mungu alikuvusha salama.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Sep 12, 2018 #24 kiwembe 023 said: Maisha ya wanadamu yametawaliwa na madarasa mbalimbali. Kila hatua inadarasa lake. Na amini Mungu alikuvusha salama. Click to expand... Wewe nilisali na kufunga, kuhudhuria misa asubuhi nilivuka tena kiajabu
kiwembe 023 said: Maisha ya wanadamu yametawaliwa na madarasa mbalimbali. Kila hatua inadarasa lake. Na amini Mungu alikuvusha salama. Click to expand... Wewe nilisali na kufunga, kuhudhuria misa asubuhi nilivuka tena kiajabu
gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,909 Reaction score 3,026 Sep 12, 2018 #25 Affet said: Dah..kajamaa kabovu sana kwenye uandishi "kumwifazi" "tukamwufata" Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Affet said: Dah..kajamaa kabovu sana kwenye uandishi "kumwifazi" "tukamwufata" Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Peter Mabala JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 1,216 Reaction score 1,685 Sep 12, 2018 #26 Sky Eclat said: Wewe nilisali na kufunga, kuhudhuria misa asubuhi nilivuka tena kiajabu Click to expand... Hakuna lisilowezekana kwake.
Sky Eclat said: Wewe nilisali na kufunga, kuhudhuria misa asubuhi nilivuka tena kiajabu Click to expand... Hakuna lisilowezekana kwake.
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,556 Sep 12, 2018 #27 gilldenu said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Click to expand... Kama ile ya mwimbili[emoji23] [emoji23]
gilldenu said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Click to expand... Kama ile ya mwimbili[emoji23] [emoji23]
gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,909 Reaction score 3,026 Sep 12, 2018 #28 Joowzey said: Kama ile ya mwimbili[emoji23] [emoji23] Click to expand... Hahahah mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Joowzey said: Kama ile ya mwimbili[emoji23] [emoji23] Click to expand... Hahahah mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ncherry1 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 2,181 Reaction score 2,258 Sep 12, 2018 #29 Kuna watu wanapenda ushrikina jamani unafunga dushe wenzio watumie nn sasa ni yako si ufunge poch yako... Haya matokeo yake nso hayo yani wanawake wengne baaana unaongozwa na hisia baada ya kufjlia what will happen kesho kama nikifanya hv
Kuna watu wanapenda ushrikina jamani unafunga dushe wenzio watumie nn sasa ni yako si ufunge poch yako... Haya matokeo yake nso hayo yani wanawake wengne baaana unaongozwa na hisia baada ya kufjlia what will happen kesho kama nikifanya hv