Shida hao wanaonekana wanayokea kwenye jamii pwani. Wanaamini sana uganga kuliko Mungu.Wasali deliverance prayer curse zote hizo zitavunjika.
Ni matatizo ya kulazimisha ndoa kwa mtu asiyekupenda
Mkuu mimi nimetoka Pwani lakini ninaamini MunguShida hao wanaonekana wanayokea kwenye jamii pwani. Wanaamini sana uganga kuliko Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushawahi kua na stress za mapenzi, mpaka rafiki yako anakwambia kesho ni harusi ya dada yake na we ukamjibu "lini wanasafirisha mwili?"
Mapenzi si mchezo ukikamatika [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Watu kama nyie ni wachache sana wengi ndio maisha yao. Mtu akiguswa kidogo breki kwa wagangaMkuu mimi nimetoka Pwani lakini ninaamini Mungu
Ninadhani ni pamoja na huduma mbovu za afya na uduni wa elimu. Kufanyiwa vipi morning hospitali ni karibu laki tatu wakati kwa mganga hapo mmemalizanaWatu kama nyie ni wachache sana wengi ndio maisha yao. Mtu akiguswa kidogo breki kwa waganga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] stress za mapenzi ni zaidi ya kufilisika mkuuUshawahi kua na stress za mapenzi, mpaka rafiki yako anakwambia kesho ni harusi ya dada yake na we ukamjibu "lini wanasafirisha mwili?"
Mapenzi si mchezo ukikamatika [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Asante kwa kulitambua hilo,[emoji23] [emoji23] [emoji23] stress za mapenzi ni zaidi ya kufilisika mkuu
Hahahaha wuuuiii ukiandika uzi em fanya kunitag basi maana niwahi kuja niisome hyo faulo ulochezewa mkuuAsante kwa kulitambua hilo,
Maana nlishachezewa faulo hio katika mahusiano sinta sahau milele
Ntiandikia uzi soon nilitoe duku duku moyoni [emoji120] [emoji120] [emoji120]
il lijamaa ni li K* sana halijui ata kuandika sijui mwanaume wa Kule???Siku ukijua kuandika utakuwa mwandishi mzuri mzuri sana.
Dah..kajamaa kabovu sana kwenye uandishi "kumwifazi" "tukamwufata"Siku ukijua kuandika utakuwa mwandishi mzuri mzuri sana.
Haya maombi humwitaji mtu awe anamwamini Mungu vizuri na yafanywe na mtu sahihi.Wasali deliverance prayer curse zote hizo zitavunjika.
Ni matatizo ya kulazimisha ndoa kwa mtu asiyekupenda
Yanakwenda na mfungo wa nguvu hata miezi mitatu.Haya maombi humwitaji mtu awe anamwamini Mungu vizuri na yafanywe na mtu sahihi.
Si wachungaji wote hutumia maombi haya.