Yote unayotakiwa kujua kuhusu GNS3

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
---------Hii mada ni ndefu ila ni muhimu mno kwani imejibu maswali mengi kuhusu GNS3,nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya mwaka mmoja,natumaini watanzania wenzangu mutafaidika----------------

Ni kweli ulimwengu wa leo kila siku zinavyozidi kwenda ndio mambo yanavyozidi kuwa rahisi na maisha kuwa simple,Nakumbuka kipindi naanza mbio za Cisco mnamo 2005,nilikuwa naangaika mno na simulator,kila siku ni kucheza na macrack huku nikipigwa na virusi kibao.Sasa shukurani zimuendee eremy Grossmann na wenzake wote ambao walikaa chini na kuliona hili tatizo then wakaamua kuja na suluhisho ambalo ni GNS3.

Ni nini GNS3??
GNS3 inasimama badala ya Graphical Network Simulator,hii ni simulator kama nyingine mf Bosom,Packet tracer na nyingine kibao. GNS yao inasimulate hardware na sio software Inatumia real software(kwa lugha ya kinetwork tunaziita Internet Operating System{IOS})
Ili kuifanya GNS ifanye kazi barabara,imeunganishwa na baadhi ya software nyingine ambazo hapo awali zilikuwa zinasimama zikijitegemea kama

Dynamips, the core program that allows Cisco IOS emulation.
Dynagen, a text-based front-end for Dynamips.
Pemu, a Cisco PIX firewall emulator based on Qemu.

Hii software ni open source na inaweza kutumia kwenye mazingira yeyote kuanzia Windows,Linux na hata Mac

Matumizi
Hii simulator inaweza kutumia kwa kujiandaa na mitihani kama CCNA,CCNP,CCIP na CCIE.hivyo unaweza kuona ni jinsi gani ilivyo ni chombo madhubuti na msaada mkubwa kwa jamii yetu hii ya masikini ambapo kukodisha router ni mgogoro
(Binafsi kipindi changu chote nasoma CCIE nimekuwa nikitumia sana hii software,inafikia kipindi hata kuenda au kuconnect na computer za Lab naona ni uzushi,kwani mfano mdogo tu,hapa China wanacharge Yuan 15 kwa saa,na kwa siku minimmum ni masaa 6,unazungumzia Yuan 90.Zidisha kwa mwezi mmoja utaona unahitaji shilingi ngapi mpaka unamaliza masomo yako,hivyo GNS3 ni mkombozi kwetu sisi wanyonge.

Kuinstall GNS3
Kuinstall GNS3 ni very simple,unashauriwa udownload toka kwenye site yao ambapo watakulink na Sourceforge ili kuzuia kutapeliwa,kwani kuna watu huwa wanajifanya wanacharge kwa kudownload kitu ambacho sicho,kuinstall GNS3 ni very simple,just next,next next mpaka mwisho then unakuwa umemaliza

Note:Unashauriwa kuistall GNS3 kwenye root drive,la sivyo inabiidi uset path ya dynamips kitu ambacho ni kazi ya ziada,la sivyo hutoweza kutumia GNS3

Kusetup
Hapa kidogo kuna ugumu ila sio mkubwa,katika hatua hii unaweza kutumia default na ikafanya kazi kama kawaida.Kuset na kuiamsha simulator kwa mara ya kwanza fanya yafuatayo

-------------------------------- Kuandaa mazingira ya kazi-----------------------------------------------
1. Edit-->Preferences

Itatokea window mpya yenye Option nne, General,Dynamips,Capture,Pemu

Kwa kuziacha default,zinaweza kufanya kazi kama kawaida ila unachotakiwa kufanya ni kuinitialize Dynamips, kwa kufanya ifuatavyo Dynamips-->test (angalia picha)

NB:Kama unafanya configurations za security,basi unatakiwa kuallocate PIX kwa kufanya yafuatayo
click Pemu-->Kwenye PIX browse image (angalia picha)

-----------------------------------------------Kuunganisha IOS-----------------------------------------------
Hii ni step nyingine muhimu ili kufanya GNS kufanya kazi kwani kama nilivyosema GNS hutumia Cisco ISO,hivyo step ya kwanza unatakiwa kudownload hizi IOS toka kwenye website ya Cisco kwa kuclick hapa
http://www.cisco.com/cisco/web/download/index.html ,lakini kusema ukweli ni kwamba kwa kutumia website ya Cisco mara nyingi ni ngumu mno kudownload hivyo unaweza kutumia torrent au kuwauliza wenzako(kama Mr Kilongwe) anaweza kukusaidia kwenye hili

Baada ya kuwa na IOS yako unachotakiwa lufanya ni kuilick na Dyanamip kama ifuatavyo

Edit-->IOS images and hypervisors

Kutatokea window ambayo ina option tano kama zifuatavyo

Image file---Inatakiwa kubrowse file kulingana na platform

Platform---Hapa unatakiwa kuclick kuchagua platform kulingana na matumizi yako

Model---Kila platform ina model yake,mfano 3700 platforn ina model 3725 na 3745

IDLE PC Hii ni muhimu mno,kwani kwa kawaida GNS hutumia resources nyingi kitu ambacho kinaweza kufanya computer yako iwe slow au usifanye kazi kazi za ziada au kuwa na matokeo ya ajabu,kwa kuset IDLE PC inafanya GNS iachie resources ambazo hazitumiki,Nitaelezea jinsi ya kuset Idle PC baadae kidogo

Default RAM Pia unaweza kuset default RAM,hii italimit GNS kutumia resources nyingi,faida ni kuwa unaweza kufanya kazi nyingine huku ukitumia GNS ila hasara ni kuwa kama RAM uliyoset ni ndogo kuliko RAM inayotakiwa basi utajikuta GNS inaanza kupoteza muelekeo,kudrop packets nk

Baada ya kubrowse na kuset kila kitu,click save then close (angalia picha)

NB:Kitu cha muhimu kuzingatia,hizi IOS unaweza kuziweka popote kwenye computer yako,hata kwenye flash disk pia mwake,we browse tu kutafuta zilipo,kwakuwa Default Image for this Image is by default ipo on,mara nyingine ukitaka kutumia GNS huna haja ya kufanya setting yoyote.Hivyo unashauriwa usiantick

---------------------------------mada kamili click here------------------------------
 
Mkuu hizo ios zinazingua.
naomba njia rahisi za kuzidownload.
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom