Matatizo ya nyonga na mifupa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya nyonga na mifupa

Discussion in 'JF Doctor' started by NTINGINYA, Nov 14, 2010.

 1. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakuu naimani hamjambo nawanaoumwa poleni

  wenye ujuzi watujuze wakuu mimi mkewangu nimjamzito na anamiezi mine4 na hii nimimba yapili tatizo alilo nalo ni kuumwa katika nyonga ya mguu wa kulia inamuumampaka anshindwa kutembea na inshika kiasi hawezi kuutmia tumekwenda hspitali tukaambiwa nikawaida lakini inamtesa sana juzi kapata ajali ilimshika akiwa anaendesha gari akashindw kuinua mguu ilialipaki gari akaingia mtaroni naomba msada
   
 2. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakuu tatizo langu nimeliweka mahalapake lakini kule naona skupata msaada wowote wako bize matatizo ya sehem nyeti tu mimi mkewangu ni mjamzito wa miezi mine4 anatatizo lakuumwa na nyonga huwa inamshika hatakutembea hawezi hospitali tumeambiwa nikawaida tatizo linazidi sikuhadi siku nawaswasi isje kaleta mazara badae juzi ilisabisha ajali alikuwa anendesha gari mguu ulikosa nguvu hatimaye akaingia mtaroni naomba msaada wenu wenyekujua

  NATEGEMEA MSAADAWENU
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Msaada mkubwa ni kumuona daktari wa kina mama!
   
 4. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu tumeona madktari hopitali kama tatu hivi majibu yao kuwa ni hali yakawaida lakini mshaka yetu nikuwa isje kuwa sihali ya kawaida tukazembea kwakutegemea ni kwakuwa ujauzito kumbe ni tatizo
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Ntinginya,
  Unahitaji kupiga abdominal-pelvic ultra sound ili kuhakikisha kuwa hakuna "inflamatory" process au fluid collection inayoendelea hapo. Hii pia itakuwezesha kujua kama mtoto yuko kwenye kifuko cha uzazi au la.
  Kama uko Dar es Salaam, ulizia kama huduma hiyo unaweza kupata Regency hospital, itakuwa bora zaidi hapo.
  Pole na kila la heri kaka.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  (1) Dawa ya maumivu ya Nyonga Mke wako Shemeji yangu mwambie atumie hizi dawa inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu zitaweza kumsaidia.

  Atwange Gramu 6 za mbegu za harmal achanganye na maji ya Uvuguvugu glasi moja awe anakunywa kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 12 inshallah atapona. kila akitumia afanye hivyo.

  (2)Na ingine hii chemsha na maji Maganda ya limau kisha kuchemka awe anakunywa kutwa mara 3 glasi moja ya hayo maji kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana na usiku kwa muda wa siku 12 atapona inshallah.

  (3) Na ingine hii Pata Asali safi mbichi ya nyuki changanya na unga wa mbegu za Harmal gram 5 awe anakunywa kutwa mara 3 Asubuhi kijiko kimoja cha kulia wali mchana kijiko kimoja na usiku kijiko kimoja kwa muda wa siku 12 atapona inshallah. awe anafanya hivyo kila wakati anapotumia hiyo dawa.

  (4)Na hii ingine dawa ya kutibu hayo Maradhi ya nyonga Upate mafuta ya Hina uwe unamfanya masaji sehemu ile inayouma kwenye hiyo nyonga kila siku kutwa mara tatu kwa muda wa siku 12 inshallah atapona.

  (5) au hii ya mwisho upate Mafuta ya lozi (mlozi) uwe unafanya masaji kama unavyo fanya kwa kutumia mafuta ya Hina inshallah atapona.

  N.B Muhimu Dawa namba 1 Au dawa namba 3 unaweza kuchaguwa kutumia mojawapo kati ya hizo mbili sio kutumia zote 2 kwa wakati moja. Na zilizobakia waweza kutumia zote.
   
 7. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [/PHP]
  Nashkru mkuu jua likchomoza ntatelkeleza maelekezo Inshaalah
   
 8. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma mkuu ntatekeleza hilo pia, hawa madktari hawatupi maelekezo kama haya
  MKUU UBARIKIWE
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ntinginya, waweza fanya Ultra sound sawa, ila pia angalia psychology ya mkeo.. Pamoja na maumivu yote, mimba zaweza kusababisha mtu akawa either anadeka sana au anapain threshold ndogo sana

  sorry i am taking a stick out of your wife, its because better therapy needs to address all... dramaqueen
  Its more complicated than just pain
   
 10. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mhhhh...Acid...tema mate chini!
   
 11. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #11
  Nov 15, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni la kawaida kwasababu ya kuongezeka pressure inayotokana na kiumbe kinachokua. Lakini inapofikia hatua uliyoeleza ukawaida unaondoka kwasabau hiyo inakuwa extreme. Kuna sababu nyingi zinazoweza kulete hali hiyo, kwahiyo ningekuomba uende ukaonane na daktari bingwa wa maradhi ya akina mama na uzazi [ Obstetrician /Gynaecologist] huyu atakuagiza vipimo vitakavyotoa taswira halisi ya maumivu ya mkeo.
  Ningeomba ufanye hivyo haraka kwasababu hili linagusa watu wawili mama na kiumbe tarajiwa, na inabidi ufuatilie ili baadaye tusijekuwa na mushkeli ikawa too little too late, tungefurahi meli ikitia nanga pamoja na mzigo kama unanielewa.
  Ahsante
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  lol, angalia usijeharibu mimba ya mke wa mtu!
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sorry, i meant kwamba sometimes wanakua dramaqueens... no offense nimeexperience mkuu

  ni kumpa ushauri nasaha, apate medical attention nzuri na waangalie asije akapoteza mtoto

  ila tusisahau kwamba a foreign body in our bodies may make us a little bit crazy
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Una uhakika unayoyasema wewe CBZ ? unanijuwa mimi ni nani? usiingie tu kwenye threat wakati unachokisema hukijuwi jaribu kuwa na heshima.
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  alichokisema CBZ ni sawa.acha kumtisha kwani unamjua yeye ni nani? Wacha hizo bana!
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  na wewe na umo? toeni michango yenu sio kulaumu ovyo pasipo na elimu yoyote ile hatupo hapa kuleta mambo ya ushindani wa Simba na Yanga kwendeni. Toeni na nyinyi dawa kama mnaweza sio kujaza server tu na wewe umejiunga jana leo unaleta maneno yako ya upuzi?

  jackbauer
  [​IMG] Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] Join DateThu Oct 2010LocationCTUPosts47Thanks0Thanked 11 Times in 6 Posts Rep Power0

  0 out of 1 members found this post helpful. Thank you for rating this post!
  [​IMG]
  [​IMG] Originally Posted by MziziMkavu [​IMG]
  Una uhakika unayoyasema wewe CBZ ? unanijuwa mimi ni nani? usiingie tu kwenye threat wakati unachokisema hukijuwi jaribu kuwa na heshima.  alichokisema CBZ ni sawa.acha kumtisha kwani unamjua yeye ni nani? Wacha hizo bana!

  Nyie wanachama wapya mna matatizo sana Mnatia wingi wa bure na kujaza server tu hakuna faida yoyote ile unayotowa wewe jackbauer Towa na wewe Dawa ya nyonga sio kusema sema ovyo pasipo faida.
   
 17. J

  Jafar JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  aache kuendesha gari mpaka atakapoporomosha injini
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  haijalishi nimejiunga lini,ila ucije mpotosha mwenzio akapoteza mtoto.mizizi yote hiyo?!! Kwanza nasiki mimba zikiwa ndogo haishauriwi kumeza midawa hovyo bila ushauri wa medical doctor,sasa we wamjazia mizizi mikavu.mi sifahamu dawa ila kwa sababu aliomba ushauri nadhani ni vyema kwenda hospital kwa ushauri zaidi.we mzz mkavu kwa kuwa umejiunga cku nyingi thats why unamwaga pumba?wacha kabisa!
   
 19. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  PHP:
  Mkuu nikweli anadeka lakini kwahiki anaumwa kiukweli mkuu namfaham sana alivyo
   
 20. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimekuelew vizuri nashkuru sana kwa mchango wako Ubarikiwe mkuu
   
Loading...