Za jion wna jf, mimi ninasumbuliwa na maumivu ya nyonga kwa muda sasa tangu 2011, nimeenda hospital mara nyingi,
M
Nimepima vpmo tofauti ktk hosptl tofaut na nimekuwa nikipata majibu tofaut tofauti, na dawa mbalimbali ambazo zmekuwa zkinipa nafuu ya muda tu na bdae tatizo kurd,
Nimepiga x-ray ya nyoga na mgongo ya nyonga nikaambiwa hakuna tatxo, mgong nkaambiwa uti wa mgongo umekaza, nikapewa dawa na maxoez clinc nikawa vzr lakin baada ya muda tatizo limerudi,
Mara nyingi maumiv haya naypat kipnd cha ovulation muda mwingin maumiv huendelea mpk mp na hata baada ya. Na mara nyingine naumwa mfululizo hata miez 2, nimeonana na specialist wa wanawake, akanifanyia vpimo nikaambiwa ni hormonal imbalance nikapewa dawa multivitamins (one daily woman) na duphustone nilitumia takrban doz tatu mfululizo nikapata nafuu ambay niliona nmepona lakin baada ya miez miwili tu shida ilirud
Mwenzenu nimechoka, nabeni msaada wenu hasa ushauri nifanyeje?