Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Nikitumia vyakula vyenye mchanganyiko wa nyanya au maziwa pamoja na ngano napatwa na allerg ya mafua, hata kama mafuta yaliyopikiwa mandazi au chapati yakipikiwa katika mboga nakuwa napatwa na allerg kutokana na mazingira inakuwa vigumu kuepuka kwa mfano ma hotelini.

Ninaombeni ushauri nifanyaje nipone au nipate nafuu.
 
nikitumia vyakula vyenye mchanganyiko wa nyanya au maziwa pamoja na ngano napatwa na allerg ya mafua hata kama mafuta yaliyopikiwa mandazi au chapati yakipikiwa katika mboga nakuwa napatwa na allerg kutokana na mazingira inakuwa vigumu kuepuka kwa mfano ma hotelini ninaombeni ushauri nifanyaje nipone au nipate nafuu
Ndg plock,nakushauri TUMIA juice inayoitwa Splina liquid chlorophyll inayotoka kampuni ya EDMARK hii itakuponesha kabisa tatizo lako la mzia(allerg)
 
Na gharama yake hiyo juice ni bei gani na pia inapatikana katika Maduka ya kawaida au pharmacy.
 
Binafsi hio hali naijua.. Kitanga tanga wanaita kambaku. Dawa nilizowahi kushauriwa na nikatumia ni CETRIZINE,
NAKUSHAURI NENDA HOSPITALI KUBWA KAFANYE KIPIMO CHA ALERGY NA HUKO UTAPATA USHAURI ZAIDI., hizo cetrizine zinatuliza tu hayo mafua ya alergy.

NB:MIMI SI DAKTARI, NAONGEA KUTOKANA NA HALI ILIVYONITOKEA UPANDE WANGU.
 
Binafsi hio hali naijua.. Kitanga tanga wanaita kambaku.
Dawa nilizowahi kushauriwa na nikatumia ni CETRIZINE, NAKUSHAURI NENDA HOSPITALI KUBWA KAFANYE KIPIMO CHA ALERGY NA HUKO UTAPATA USHAURI ZAIDI., hizo cetrizine zinatuliza tu hayo mafua ya alergy

NB:MIMI SI DAKTARI, NAONGEA KUTOKANA NA HALI ILIVYONITOKEA UPANDE WANGU.
Asante nimeshaenda hospitali mbali mbali nimemeza hiyo cetirizene kwa muda mrefu bila mafanikio ikabidi nitulie daktari alinishauri labda madawa ya asili nitumie maana kwa hiyo ya hospitalini inatuliza tu kwa muda inarudi tena.
 
Hata mm nina aleji kama yako, mm huwa natumia Cetrizine inaisha..
Jitahidi kutafuta mbadala wa hiyo itakusaidia
 
Hata mimi nina tatizo kama hilo tofauti ni kua ukiacha mafua pia nakua kama nina kikohozi kikavu kilichokwama kooni ambacho kabla sjaongea huhitaji kwnz kujitayarsha kwa kukohoa kidogo.. Na muda mwng pua moja linakaa limeziba wakati siumwi mafua, nmshaenda hosptl zaid ya tano kubwakubwa lakn hamna mafanikio. Wenye kujua tiba tusaidieni jaman.
 
Hata mimi nina tatizo kama hilo tofauti ni kua ukiacha mafua pia nakua kama nina kikohozi kikavu kilichokwama kooni ambacho kabla sjaongea huhitaji kwnz kujitayarsha kwa kukohoa kidogo.. Na muda mwng pua moja linakaa limeziba wakati siumwi mafua, nmshaenda hosptl zaid ya tano kubwakubwa lakn hamna mafanikio. Wenye kujua tiba tusaidieni jaman.

Nikipata dawa inatakayonisaidia nitakufahamisha maana tatizo linafanana kabisa Ila kikohozi ndio sina vingine vyote ninavyo hivyo. Ila kuna dawa ya sindano kuna docta alikuwa akinichoma inaitwa diprofos pamoja na hizo cetirizene alikuwa akinipa Ila hiyo diprofos nikikaa baada ya miezi mitatu anichoma kupunguza ile allergy isinishambulie sana.
 
Nilikunywa dawa ya cefixim taxim, imenisababishia muwasho, yaani nawashwa mwili mzima pia nikijikuna natokwa na vidonda,naomba msaada wa kuichunguza iwe dawa imetengenezwa na nini ili siku nyingine sitakiwi kunywa dawa iliyotengenezwa na hicho kitu?
 
Umeangalia expire date?

Any way tunaangalia mpira aseno kaishapata mimba tatu.
 
Nilikunywa dawa ya cefixim taxim,imenisababishia muwasho,yaani nawashwa mwili mzima pia nikijikuna natokwa na vidonda,naomba msaada wa kuichunguza iwe dawa imetengenezwa na nini?ili siku nyingine sitakiwi kunywa dawa iliyotengenezwa na hicho kitu.
Mkuu Google mbona Dawa zote zinaelezewa vzr tu ikiwemo side effects+contraindications+ wenye allergy Nazo, pia ni vzr ukionana na doctor aliyeprescribe hiyo dawa ili akuandikie antibiotic nyingine usiyo na allergy nayo
 
Nilikunywa dawa ya cefixim taxim,imenisababishia muwasho,yaani nawashwa mwili mzima pia nikijikuna natokwa na vidonda,naomba msaada wa kuichunguza iwe dawa imetengenezwa na nini?ili siku nyingine sitakiwi kunywa dawa iliyotengenezwa na hicho kitu.
Jina sahihi ni cefotaxime...
 
Tumia (kunywa) Celestamine 1 tab twice per day for three days kwisha maneno ila muone daktari akusaidie, yes yawezekana ikawa ni side au adverse effect za dawa lakini daktari anatakiwa akuone na kukusaidia dawa mbadala.
 
Habari za asubuhi wakuu najua humu kuna wataalamu wa aina nyingi hivyo kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo ningeomba ushauri au tiba kabisa maana kila nikitumia kondom(kinga) wakati wa tendo la ndoa hua natokwa na vipele sehemu za siri hivyo naomba msaada nijue kwamba nikwanini nakama kuna kondom zenye madhara hayo je nitumie kondom gani ambazo ninzuri?
 
Back
Top Bottom