Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Habari za asubuhi wakuu najua humu kuna wataalamu wa aina nyingi hivyo kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo ningeomba ushauri au tiba kabisa maana kila nikitumia kondom(kinga) wakati wa tendo la ndoa hua natokwa na vipele sehemu za siri hivyo naomba msaada nijue kwamba nikwanini nakama kuna kondom zenye madhara hayo je nitumie kondom gani ambazo ninzuri?
Hata usitumie tena ndom piga dry ndo tam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu usiwe unatumia condom na usiwe malaya
Mimi sio malaya ila kuna kutunukiwa na siku zote waswahili husema zawadi ni zawadi huwezi kataa zawadi utaitwa mjinga ndo maana naona nitumie kinga nahua natumia mchanganyiko mara NDUME, MSD, 3BOMBA nk hivyo nashindwa kujua nizipi zenye aleji sasa naomba ushauri kwa wale wanaojua mbaya na nzuri ili nijue zipi niache zipi nitumie
 
Habari za asubuhi wakuu najua humu kuna wataalamu wa aina nyingi hivyo kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo ningeomba ushauri au tiba kabisa maana kila nikitumia kondom(kinga) wakati wa tendo la ndoa hua natokwa na vipele sehemu za siri hivyo naomba msaada nijue kwamba nikwanini nakama kuna kondom zenye madhara hayo je nitumie kondom gani ambazo ninzuri?
Hivi bado kuna watu bado mnatumiaga kondomu tu ...!
Dah...! mie nilishasahau kabisa kwanza nilidhani hata zilishagafutwa kama ilivyopotea ile dawa tuliyokuwaga tunaweka kwenye maji ya kunywa "water guard"
 
Habari za asubuhi wakuu najua humu kuna wataalamu wa aina nyingi hivyo kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo ningeomba ushauri au tiba kabisa maana kila nikitumia kondom(kinga) wakati wa tendo la ndoa hua natokwa na vipele sehemu za siri hivyo naomba msaada nijue kwamba nikwanini nakama kuna kondom zenye madhara hayo je nitumie kondom gani ambazo ninzuri?
Wewe ni Ke au Me
 
Yaani mpaka leo hii.. karne hii kuna watu wanatumia condom?
 
Back
Top Bottom