Madaktari muwe mnauliza wagonjwa wana mzio wa dawa gani

linguistics

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,701
4,325
Habari wana wa nchi yangu,
Langu ni ombi tu kwa hawa wataalamu wetu wa afya, naomba wawe wanauliza mgonjwa kabla ya kumpa dawa Ana allergy na dawa gani?

Kwa sababu dawa nyingi siku hizi zina majina ya biashara kwa hiyo sio rahisi kwa mgonjwa kugundua kwamba dawa aliyopewa ime contain dawa ipi na ipi? Mpaka ameze apate mzio au atulie asome( kama anaweza) box lake.

Mchana nilipima nikaandikiwa dawa katika hospital fulani (imejaa ma doctor vijana). Nilivotqka kumeza nikiwa nyumbani ndio nikasoma box na kukuta dawa ina amoxicillin ambayo huwa inaniumiza.

Ikibidi watunga sera waweke msisitizo (sheria) kusimamia hili. Ni hayo tu
 
Unge

Ungebabuka uume
Ni hatari Sana.
 
Hilo swali ni lazima kwa daktari anayefuata mtiririko sahihi wa kuchukua historia ya mgonjwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom