Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Wakuu kwanza kheri ya mwaka mpya 2016…!!
Nimeleta huu uzi kwenu kama kuna wafanyakazi wa tigo basi watusaidie kulikoni huu mwaka wa tatu mfululizo mtandao wa tigo unakuwa unasumbua inapofika saa sita usiku siku za kukaribisha mwaka mpya? 2013/2014, 2014/2015 na hii ya leo 2015/2016 sms tigo hazitoki kulikoni…?? Tunatakiana kheri za mwaka mpya sms ila nyie munatuharibia pozi