Matatizo ya matokeo darasa la saba 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya matokeo darasa la saba 2010

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SolarPower, May 31, 2011.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba Baraza wauleze umma wa Watanzania ukweli.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hayo matokeo yana matatizo gani?
  tuwekee waz bas na sie tujue unachokijua na unacholalamikia, ingawa taarifa imetoka imechelewa.
   
 3. G

  Giroy Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaonekana una habari au tetesi weka wazi.
   
 4. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi matokeo ya mtoto wangu yana walakini hasa somo la HISABATI. Nitapenda kuona karatasi zake zilizosahihishwa. HISABATI wamempa maksi 50 kati ya 100. Kwa jinsi alivyo na alivyofanya Mtihani naamini kuwa alipata alama 100 katika HISABATI. Haingiii akilini kuwa eti alishindwa kuvuka maksi 50 katika HISABATI.
   
Loading...