Matatizo ya maji Dar es Salaam yataisha lini?

Kapuku83

Senior Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
146
Reaction score
35
Ni siku ya tano mfululizo sasa maeneo kadhaa wa kadhaa ya jiji la Dar es laam yamekua kavu bila huduma ya maji kupatikana,na kinachokera zaidi mamlaka husika zimekuwa kimya kabisa bila kutoa tamko wala tangazo lolote juu ya tatizo ilo!

Viongozi wetu nao na wawakilishi wetu wamekaa kimya kabisa kama vile wananchi wao hawana adha yeyote,na hii yote inatokana na kua wao na family zao hawaathiriki lolote juu ya matatizo haya!

Uwa najiuliza sana hivi ni lini jiji ili litakua na huduma za maji na umeme za uhakika? maana sasa hivi mbali ya maji huduma ya umeme nayi kwa maeneo mengi kama Kimara,Boko,Ubungo,Mtongani na maeneo mengine imekua ni kama mchezo wa bahati nasibu!

Hivi hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni lini watalitendea haki taifa ili na kuthamini na kuzitendea haki hizi kodi zetu lukuki wanazokusanya na kuzinyonya bila huruma?
 
Mpaka ccm Itoke madarakani alafu ije serikali mpya, ila kwa kuwepo ccm madarakani bado shida hii itakuwepo
 
Kwa kweli haya mambo yanaumiza sana,cha ajabu majoritty ya wananchi wa Dar es salaam uwaga wanakaa kimya kabisa na kuridhika na hali hizi!shida ya maji toka last week kwa Dar ni kubwa,na kuna uwezekano wa kutokea mlipuko wa magonjwa!
 
Matatizo yako hayawezi tatuliwa na mtu anayeishi maishi ya peponi akiwa duniani. Tafakari alafu chukua hatua
 
Kwa kweli haya mambo yanaumiza sana,cha ajabu majoritty ya wananchi wa Dar es salaam uwaga wanakaa kimya kabisa na kuridhika na hali hizi!shida ya maji toka last week kwa Dar ni kubwa,na kuna uwezekano wa kutokea mlipuko wa magonjwa!

Maji ni shida na serikali haifanyi jitihada za kutosha kumaliza tatizo hili.
Hapa kichwa kinauma maana kila siku asubuhi lazima ununue maji, na kama una familia kubwa ni balaa maana kila siku lazima ikutoke 5000 sh hapo mwezi bei gani?
Kila mara wanasema tunaweka bomba jipya bomba jipya lkn shida iko pale pale, kwa sababu wao hawajui shida ya maji basi hawawajali wananchi wa kawaida.
F@...hii serikali
 
Last week tu, wakati kuna maeneo mengine hatujaona maji mwaka mzima Kimara Temboni
 
Ni siku ya tano mfululizo sasa maeneo kadhaa wa kadhaa ya jiji la Dar es laam yamekua kavu bila huduma ya maji kupatikana,na kinachokera zaidi mamlaka husika zimekua kimya kabisa bila kutoa tamko wala tangazo lolote juu ya tatizo ilo!viongozi wetu nao na wawakilishi wetu wamekaa kimya kabisa kama vile wananchi wao hawana adha yeyote,na hii yote inatokana na kua wao na family zao hawaathiriki lolote juu ya matatizo haya!uwa najiuliza sana hivi ni lini jiji ili litakua na huduma za maji na umeme za uhakika?maana sasa hivi mbali ya maji huduma ya umeme nayi kwa maeneo mengi kama Kimara,Boko,Ubungo,Mtongani na maeneo mengine imekua ni kama mchezo wa bahati nasibu!

Hivi hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni lini watalitendea haki taifa ili na kuthamini na kuzitendea haki hizi kodi zetu lukuki wanazokusanya na kuzinyonya bila huruma??

Kwetu Hapa Kigali Maji Ni Mengi Hadi Tunakosa Ya Kuyafanyia Kwani Watawala Wetu Wana Mipango Endelevu Na Mizuri Kwa Wanyarwanda.
 
Kusema kweli serikali za awamu ya 2,3, na 4 zimechemka sana. Wamekalia kuchumia mitumbo yao huku wananchi wakifa na matatizo yao. Kusema kweli hainingi akilini meneja wa dawasco anayaadimisha maji ili ale vichwa. Hiyo imetokea maeneo ya Kimara Korogwe.

Je, ni kosa lake? Kwa maoni yangu si kosa lake. Bali anajilimbikizia kama mfumo tawala unavyomlazimisha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
mqji hajatoka wik mwezi bill inakuja 54000 je huu si wizi jamani nifanyeje
 
Maji ni shida na serikali haifanyi jitihada za kutosha kumaliza tatizo hili.
Hapa kichwa kinauma maana kila siku asubuhi lazima ununue maji, na kama una familia kubwa ni balaa maana kila siku lazima ikutoke 5000 sh hapo mwezi bei gani?
Kila mara wanasema tunaweka bomba jipya bomba jipya lkn shida iko pale pale, kwa sababu wao hawajui shida ya maji basi hawawajali wananchi wa kawaida.
F@...hii serikali

Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia zote!yaani hawa watawala wetu wanafanya vile watakavyo,mradi tu wao na familia zao hawaathiriki au kupata adha yoyote!sidhani kama kulalamika pekee itajitosheleza wakati tunazidi kuumia!
 
Watu wa dsm ni wapumbavu

Nilitegemea kua kwa karaha zote tunazopata watu wa Dar,labda tungekua watu wa mwanzo kabisa kutuma ujumbe na hisia zetu kwa waliopewa mamlaka ya kutuongoza,ila imekua kinyume matokeo yake mpaka mikoa kama ya Morogoro iliyokua nyuma ki muamko,na yenye unafuu mkubwa wa masuala ya maji na umeme,imeanza kuamka huku watu wa Dar tukiendelea kuaabika na kufanywa malofa wa kifikra!ila jina ulilotumia kutuita ni kali sana mkuu!!
 
Watu dar hawalalamiki khsu shida ya maji
Wako kimya tu,
 
Watu wa dsm ,mabitozi wanajifanya wajuaji lakini usiku unamkuta bitozi na dumu anatafuta maji hawa watu ni wapumbavu kabisa ovyooo
 
...wakuu wapo bize na mpango wa milenia 2025, brn, BVR, escrow series,uchaguz kmyakmya...

2025 sio mbali..
 
Ni siku ya tano mfululizo sasa maeneo kadhaa wa kadhaa ya jiji la Dar es laam yamekua kavu bila huduma ya maji kupatikana,na kinachokera zaidi mamlaka husika zimekuwa kimya kabisa bila kutoa tamko wala tangazo lolote juu ya tatizo ilo!

Viongozi wetu nao na wawakilishi wetu wamekaa kimya kabisa kama vile wananchi wao hawana adha yeyote,na hii yote inatokana na kua wao na family zao hawaathiriki lolote juu ya matatizo haya!

Uwa najiuliza sana hivi ni lini jiji ili litakua na huduma za maji na umeme za uhakika? maana sasa hivi mbali ya maji huduma ya umeme nayi kwa maeneo mengi kama Kimara,Boko,Ubungo,Mtongani na maeneo mengine imekua ni kama mchezo wa bahati nasibu!

Hivi hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni lini watalitendea haki taifa ili na kuthamini na kuzitendea haki hizi kodi zetu lukuki wanazokusanya na kuzinyonya bila huruma?
Alipobananishwa na Mnyika bungeni mwaka juzi prof. wa maji Magembe aliahidi kwamba tatizo la maji Dar lingekuwa HISTORIA. Kumbe ilikuwa kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Back
Top Bottom