Matatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala
Gafla mtoto kaamka
Mtoto:mama nataka nikakojoe
Mama:chukua tochi hapo uende
Mtoto:akanyoosha mkono anaazakupapasa kumbe baba kalala uchi mara akashika uume wa baba yake akizani tochi
Baba🙁kwakuzuga)we acha iyo haina betri
Mtoto aliyefikisha umri wa kujua kujipeleka chooni kwa tochi anafanya nini kwenye kitanda cha wazazi. Wacheni hizo, huyo atakua hata anawaona mkicheza gemu yenu ila anazuga tu.