Matatizo ya kinanda changu

Matatizo ya kinanda changu

Joined
Apr 27, 2017
Posts
29
Reaction score
9
Nina kinanda psrs 650 ila nikikiwasha kinapiga sauti kama umepga jiwe kwenye maji, nkipiga wimbo (biti) bado kinapiga kelele bila kuweka hata sauti yoyote iliyomo kwenye kinanda hicho kama unajua tatizo naomben msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom