Matatizo ya baadhi ya wanaume waliooa.

Matatizo ya baadhi ya wanaume waliooa.

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.

8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika

10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege

11-Kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi

12. Kutomchekea mke wako.
13. Kutokukaa nyumbani.
14.Kutigwa sana na mitandao ya kijamii (extreme busy with whatsApp, fb, viber etc) kiasi cha kuwa zuzu.
15. Kupenda kufuatilia mpira mpaka baa usiku.
16.Kuvua nguo espcialy suruali na kuiacha kama kinyesi.
17.Kuanzisha tabia/ratiba mpya ambayo hukuwa nayo kabla.
18.Kufunga simu yako na namba, maneno ya siri au michoro ya siri (drawing pattern ie Z,C).
19.Kuwa na kitambi kilichopitiliza.
20.Kukwepa kuongozana naye.
21.Kukwepa kuomba papuche mpaka yeye aanze.
22.Kutumia gari peke yako (Ubinafsi).
 
wanaboa wakianza hivyo ila hilo la kununiana linaudhi,na la kimada nitaanza kukagua gari nikiolewa
 
hii tabia imejumuisha tabia ya mtu mmoja kuwa ni ya wote kitu ambacho hakiakisi hali halisi
 
Back
Top Bottom