Hicho kidudu dcim Mimi kwenye playstore nineiona dcim helper.ndio hicho au ninini ?
simu yangu ya sony experia v inatatzo maana haionyeshi call list,inamaana nkipigiwa cwez ona missd call je nn tatzo
mimi simu yangu kila mda inakuwa inasearch GPS hat kama nikiizim GPS baada ya mda kidogo tena inaanaza kisearch, mwenye ujuzi tafadhari anisaidie
kiujumla wengi wetu tunatumia Android phone ingawa c 100% ila wengi wao wapo na android phones..
Hivyo nimeona ni bora kuanzisha hii mada ili kila mwenye tatizo la android phone aweze post na mwenye kujua utatuzi wake aweze kumsaidia kma moja ya kupunguza gharama zisizo za msingi kwa kupeleka kwa fundi na vitu vngine...
KARIBUNI
Mkuu simu yangu ni grand 3 kila nikitaka kufungua play store upya kuweka email na password inagoma inaniletea hivi so naomba msaada nakosa addition nyingi kwa apps
Mja nenda sehem ya tarehe na angalia kama viko sawa yan kma tarehe na saa viko correct .... pia nenda kwenye APPS na tafuta hiyo google play store kisha zama umo ndan na then clear cache na data alaf rudi kule na anza kusign in ...lejesha majibu ya ulivyoelew kma imeshindika tukupe njia nyingne..KARIBU
Unatumia sim gani mkuu saw version tmeiona yan BRAND ya sim yako
Inakataa mkuu bado unasoma vile vile
nmedownload 1mobile, google play nashindwa kabisa kupakuaok mkuu na hzo apps unazidownload wap google play au market nyngne
Mimi naomba kujua jinsi ya kununua game mbali2 za kulipia unafanyaje hasa hizi zilizo andikwa dollars