Mwanamke nilie fanya nae mapenzi nimmoja tu, tulikutana baada ya kuwa nimesha peleka posa na nilimueleza kwani yeye ndo alikuwa ananishawishi lakini anajua mpaka tarehe yangu ya kuoa na mpaka ivi sasa tunamawasiliano mazuri.Unadhani hao uliokuwa unawachezea wamefurahi wewe kuoa?wameshakutengeneza
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni
Unadhani hao uliokuwa unawachezea wamefurahi wewe kuoa?wameshakutengeneza
muulize huyo mwanamke mwingine alikufanya nini? me nilisikia huwaa wanachukua eti maniii ya mwanaume wanapeleka kwa waganga wanakufunga usiweze kwa mkeo ila me huwa siamini sana mambo ya kishirikina..... endelea kufanya maombi tu itasimama peke yake....
Hapo hamna cha maombi, ni suala mtambuka tafuta nyanya chungu(ngogwe) na chemsha bila kuzimenya halafu kunywa na ule hio ndio dawa pekee. anayekuambia fanya maombi labda kama una jini Mahaba.
St.Apolinary me nilijua ni dawa kwa wanawake tu kumbe hata kwa wanaume basi afanye ale asinye umbuka zaidi....
shost umedhamiria kuandika ivi?
Unadhani hao uliokuwa unawachezea wamefurahi wewe kuoa?wameshakutengeneza
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni
mimi nikijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini nikisogea kwenye " K" huwa napoteza hamu yote mpaka huwa najiuliza nimekusudia kufanya nini (huyu mwanamke ni bikra) kwa io huwa ananihangaisha sana kitandani labda huwa ndio sababu ya kupoteza hamu, na jengine huyu mwanamke anajini huwa kila nnavyo jitahidi huwa kazi kubwa lakini hamna mafanikio ya kuingiza uume ktk "K".
tumeenda kuombewa dua lakini bado tatizo halija tatuka
kwa io naomba ushauri nifanye nini,
please usicomment kihuni
Heee vipi tena mkuu?hii sio sehemu ya kumdhihaki mtu!!Mkuu unajua kujifariji, eti mkeo ni bikra...hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahh!!!!!!!. teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh , uuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Ok, sio mbaya lakini inawezekana machine yako imeloose mkuu maana ulikuwa unaitumia sana, umewahi kuona wapi used spare ikawekwa kwenye mashine mpya ?. Katafute used wenzako