siunajua wote wanaakili za baba colin babu s ndiomaana wanakurupuka kipofi haoni kibao kilichoandikwa hatari mpaka umshike mkono dawayao kuwashika mikona na kuwapa kadi kama babu padiri hiyo kadi alikabiziwa na jk nyerere aicc simba grl yeye na kikwete sindo maana anaiifadhi
Jifunze kuandika wewe
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.
Taarifa zilizopatikana jana na kuwafikia wadau mbalimbali ambapo kama kawaida ya watanzania waliowengi kuchukulia mambo kishabiki bila kufanya utafiti wa kina .
Waliingia mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wakisherehesha kionjo hiki kuwa MATATA KAFUKUZWA UMEYA BAADA YA KUSHINDWA KESI ALIYOKUWA AMEFUNGUA MAHAKAMA YA MWANZO YA KUPINGA KUVULIWA UANACHAMA DHIDI YA BODI YA WADHAMINI.
Kilichofanyika jana na mlalamikaji ambae ni Matata ni kufuta kesi hiyo aliyoifungua mahakama ya hakim mkazi huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni
Sijakuelewa vyema hapo uliposema 'ataendelea kuwa diwani wa mahakama na msahiki meya wa Manispaa ya Ilemela kisheria"
Kwa nini isiwe pia ataendelea kuwa "mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemele wa mahakama?" uliogopa nini kutamka hilo ambalo ni la ukweli pia - kwani kwa kuwa aliwekwa (alirudishwa) udiwani na mahakama, udiwani ambao ulimuwezesha kupata umeya, basi hata huo umeya ni wa mahakama. Au?
Na kwa nini alifungua kesi mbili? Aliogopa kushindwa -- kwamba akishindwa moja , basi ataendelea kuinjoi umeya kutokana na kesi ya pili.
Na iwe hivyo ili kila afikilipo ajue kila mtu anamjua hastahiliAsubuhi kaamka na kuzungukia vijiwe vyote huku akijitamba kuwa yeye ni meya.Chakushangaza akiurizwa kuhusu kesi hiyo anasema yeye kaja kuwahakikishia kuwa yeye bado meya.Wana jamvi napenda kuwapa moyo kuwa huyu jamaa ni mda mfupi atashika adabu.Nasema haya baada ya kushuudia upinzani alionao Mwanza nzima na baada ya kuingia katika soko la dagaa na samaki MWALONI,kazomewa na kufukuzwa,ndipo alipotaka kuchomoa bastora dereva akamzuia na akamchapa vibao dereva wake.Baada ya hapo akafukuzwa na madereva pikipiki.Ni tukio la majira ya saa mbili .
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.
Taarifa zilizopatikana jana na kuwafikia wadau mbalimbali ambapo kama kawaida ya watanzania waliowengi kuchukulia mambo kishabiki bila kufanya utafiti wa kina .
Waliingia mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wakisherehesha kionjo hiki kuwa MATATA KAFUKUZWA UMEYA BAADA YA KUSHINDWA KESI ALIYOKUWA AMEFUNGUA MAHAKAMA YA MWANZO YA KUPINGA KUVULIWA UANACHAMA DHIDI YA BODI YA WADHAMINI.
Kilichofanyika jana na mlalamikaji ambae ni Matata ni kufuta kesi hiyo aliyoifungua mahakama ya hakim mkazi huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni
Huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni