bernard frank ibwe
Member
- Dec 12, 2012
- 40
- 6
Tshs 20000 unalalamika ungeambiwa utoe laki moja ingekuwaje ? tumia pesa upate pesa !
Chuo kipo, walifanya hivi wiki mbili kabla ya pasaka, watu wengi walijitokeza na wakalipa hiyo pesa na wakawaita katika interview, uchunguzi wangu unaonesha hakuna hata mmoja aliyeitwa/aliyepewa kazi. sasa hii ni round ya pili....akili ku mkichwa
Teh kama kasoma na mlugo utata huo mkuukipo ni kizuri sana na chancellor mnzava ni mtu makini tena alisoma na mulugo darasa moja....shime hima tumeni hiyo 20 bana kwani kitu gani